Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Habari za kusikitisha huenda Ilalla CCM wakachukua Zungu anaongoza kwa kura nyingi!
 
halifichiki eee, halifichikiieee, halifichiki ndo asili yake!!!!!haya endelea sasa
 
halifichiki eee, halifichikiieee, halifichiki ndo asili yake!!!!!haya endelea sasa
 
halifichiki eee, halifichikiieee, halifichiki ndo asili yake!!!!!haya endelea sasa, CHEZA KIDOGO
 
weare proving our intellectualism.ASANTENI WASOMI WENZANGU KEEP IT UP TIME WILL TELL:israel:
 
karibu na sisi tutacheza alachiiii alachiiii alachiiii tukututukutuuuuuuuuuuuuuu
 
Vituo Sita (6) vya Utawala:

URAIS:
CHADEMA (Dr. Slaa) - 714
CCM (Kikwete) - 119

UBUNGE:
CHADEMA (Mnyika) - 730
CCM (Ngumbi) - 103

natokwa na machoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......jamani eeeeeeeeeeeeeeee utu wetu unarudi God bless us
 
Ninamkumbuka Rev. Mitkila aliyetutabiria saa ya ukombozi ni sasa lakini hakutuongoza kwenye ukombozi huo.......................
 
Hii tamu, lamba lamba! Salaam safi sana hii kwa REDET; eti hela zao za utafiti wanapewa na wazungu - jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mambo haya ni matamu
 
Oysterbay Primary School

Urais:
CCM 67,
CHADEMA 56,
CUF 09
wengine 0

udiwani:
CCM 71,
CHADEMA 57,
CUF 13,sau 0,
NCCR 4
 
Oysterbay Primary School

Urais:
CCM 67,
CHADEMA 56,
CUF 09
wengine 0

udiwani:
CCM 71,
CHADEMA 57,
CUF 13,sau 0,
NCCR 4

Duh mlangoni mwa usalama wa taifa na viongozi wa serikali matokeo yako haya!!! kweli ukombozi upo njiani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…