Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nguvu ya Mungu tunashinda kwani sikutegemea kuwa hivyo kutoka kwa wajeshi wetu.Mdau kanitumia matokeo ya Makongo jeshini.
Urais
JK 326
Slaa 334
Ubunge
CCM 252
CHADEMA 361
Udiwani
CCM 314
CHADEMA 351
mi naona uchaguzi utarudiwa maana wanaweza toka suluhu
Mdau kanitumia matokeo ya Makongo jeshini.
Urais
JK 326
Slaa 334
Ubunge
CCM 252
CHADEMA 361
Udiwani
CCM 314
CHADEMA 351
Vituo Sita (6) vya Utawala:
URAIS:
CHADEMA (Dr. Slaa) - 714
CCM (Kikwete) - 119
UBUNGE:
CHADEMA (Mnyika) - 730
CCM (Ngumbi) - 103
Rahaaaaaaaaaaaaaaa utamuuuuuuuuuuuu leo mpaka niipate hiyo john mtembezi