Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Slaa - 454, Mnyika - 473

JK - 71 , Hawa - 45

Ili Slaa Ashinde, haya ndiyo matokeo yanayotakiwa kutoka kwenye majimbo kama 100 hivi. Without this ratio... JK anarudi madarakani ki-urahisi kabisa.
 
safii wasomi wameonesha nia, sipati picha wangekuwepo vyuoni ingekuwa zaidi ya haya matokeo
 
Kituo namba 007490 moa kimara
Matokeo
Urais
Chadema-109
Ccm-52
Cuf-3
Spoiled-1
Ubunge-ubungo
Chadema-114
Ccm-40
Cuf-6
Up-1
Tlp-1
Spoiled-1
Diwani kata saranga(kimara)
Chadema-95
Ccm-62
 
Safi sana, nafikiri JK atakuwa kaanza kupata kizunguzungu sasa!! Wananchi wameamka....!!
 
...nec wanashangaza walesema watu 20 million walijiandikisha....lakini je ni kweli nusu ya watanzania wote wana miaka 18 kwenda juu....kwa turn out ilivyo ni wazi mahesabu ya NEC Kuna kitu yameficha ambacho CCM wanaweza wakakitumia kwenye majumuisho!!

By the way jamaa aananipa taarifa za uhakika kuwa vituo vingi jimbo la ubungo wanaongoza CHADEMA upande wa ubunge na urais,....na sehemu nyyingi na madiwani pia!

Elimu ya upigaji kura ndio bado mkuu... maana kuna watu walivyoambiwa kama umepoteza kitambulisho au umehama ukajiandishe upya... so hii ndio iliyoongeza ile numba kaka... lakini unique number of voters without repeatition in the database is 16-17M.
 
Vituo vya mapambano na zahanati-kifuma, Sinza CHADEMA inaongoza ktk ngazi zote kwa tofauti kuanzia 17-35 kura. Zaidi bdae
 
Kituo namba 007490 moa kimara
Matokeo
Urais
Chadema-109
Ccm-52
Cuf-3
Spoiled-1
Ubunge-ubungo
Chadema-114
Ccm-40
Cuf-6
Up-1
Tlp-1
Spoiled-1
Diwani kata saranga(kimara)
Chadema-95
Ccm-62

:rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip:CCM:rip::rip::rip::rip::rip:CCM
 
Safi sana, nafikiri JK atakuwa kaanza kupata kizunguzungu sasa!! Wananchi wameamka....!!

Kwa trend hii ya matokeo nadhani atakuwa ameshapata 'tumbo la kuhara'!
 
Ili Slaa Ashinde, haya ndiyo matokeo yanayotakiwa kutoka kwenye majimbo kama 100 hivi. Without this ratio... JK anarudi madarakani ki-urahisi kabisa.

Endelea kuota kama shekhe yahaya, even one vote count
 
Back
Top Bottom