Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Tumefanya makosa sana kukubali students kutopiga kura. Yaani hata tungewaomba wahisani pesa ya kuwapa wanafunzi wabaki wapige kura wangekataa?
Kwa upande mwingine, wametusaidia sana kuwaelimisha wazee ili waondoe hofu ya kuchagua chama mbadala; wera weeeeeeeeeeeraaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Asante sana wazee wa DARUSO. Wanafunzi wangekuwepo chama cha manyang'au wangekiona cha kilichomfanya kanga akose manyoya ya mkiani. Pambafu zao mafisadi. Inawezekana wengine wameanza kutafuta passport.
 
Wasomi mmefanya kweli!! Hiyo ni picha halisi ya watanzania wote wenye uelewa.
 
Slaa - 454, Mnyika - 473

JK - 71 , Hawa - 45

Khe khe khe safi sana hii .... .... ... mtegemea wageni kuchuma mali za Watanzania anakula ya chuya. Vasco Da Gama are you there?
 
Oysterbay Primary School

Urais:
CCM 67,
CHADEMA 56,
CUF 09
wengine 0

udiwani:
CCM 71,
CHADEMA 57,
CUF 13,sau 0,
NCCR 4

Nilipita maeneo hayo asubuhi ya saa tano hivi na kukuta foleni. Kama vibosile wa sirikali nao wanamchagua Slaa, basi shughuli ipo mwaka huu.
 
yaani, natamani tungekuwa pamoja wana-JF kwani nachoka kufurahi mwenyewe...
 
vituo vyote vitano vya ITV (1-5) chadema inaongoza kwenye urais, ubunge na udiwani
source itv
 
makongo juu chadema wanaongoza vitua vyote. uraisi, ubunge na udiwani

Source; ITV.
 
na boko magereza vituo saba vyo shule ya boko B na A mdee anaongoza kwa tofauti ya kura 20
 
Jamani ni Ughaibuni, nazidi kuchanganyikiwa baada ya kuona hivyo
 
Mabadiliko ya kweli yaje, tuobe wasije kufuta uchaguzi maana hao hawakawi kusema kuna dosari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…