Juaangavu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2009
- 935
- 132
Kwa upande mwingine, wametusaidia sana kuwaelimisha wazee ili waondoe hofu ya kuchagua chama mbadala; wera weeeeeeeeeeeraaaaaaaaaaaaaaaaa.Tumefanya makosa sana kukubali students kutopiga kura. Yaani hata tungewaomba wahisani pesa ya kuwapa wanafunzi wabaki wapige kura wangekataa?