Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Kagera

Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Kagera

kakuju

Member
Joined
May 27, 2008
Posts
10
Reaction score
3
Urais
ccm 376
chadema 341
cuf 13

ubunge
ccm 396
chadema 322
cuf 10

udiwani

ccm 315
chadema 474
cuf 0
 
Thanks mkuu, endelea kutupa updates, tofauti sio mbaya sana
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,endeleeeeeeni kutupa matokeo,hatulali leo mpaka kielewekw
mapinduzi daimaaaaaaaaa​
 
Yaani hawa Geita pamoja na uharamia unaofanywa na CCM kwenye madini yao bado yanaipa ccm ushindi!
 
Kama kweli hiyo ni village naanza kuwa na matumaini

Ndugu ili ushinde uchaguzi sehemy unazo-consider wewe uko juu lazima uwaache wenzako kwa mbali sana.

Sasa hiyo kama inatoka Geita is bad indication... Ila HONGERA CHADEMA Kuibana CCM ... lakini matokeo ya awali yanaonyesha Ikulu sio yenu kabisa.
 
Jamani mnaoleta matokeo, tajeni jimbo na kituo. Maana haiwezekani mkoa wa geita uwe na kura chahce hivyo.
Let's be precise:
Jimbo:
Kituo A, B, etc
 
waulize watu wa kwenu pemba halafu tuletee hapa.

mbona sasa wana chadema leo mumekasirika? Au ndio dalili za kukataa matokeo? Jamani shubiri ni chungu lakini lazima muinywe!!!
 
Ndugu ili ushinde uchaguzi sehemy unazo-consider wewe uko juu lazima uwaache wenzako kwa mbali sana.

Sasa hiyo kama inatoka Geita is bad indication... Ila HONGERA CHADEMA Kuibana CCM ... lakini matokeo ya awali yanaonyesha Ikulu sio yenu kabisa.
Tunakujua wewe ni nani na safari hii daraja lina miiba
 
msituambie mkoa mkimaaanisha vituo jamani acheni kukurupuka aaaaaaaaaaaaaaaah
 
Bukoba mjini kupoje hapo kwa bwana Hamis Sued Kagasheki na Rwekatare!!?
 
mbona sasa wana chadema leo mumekasirika? Au ndio dalili za kukataa matokeo? Jamani shubiri ni chungu lakini lazima muinywe!!!

hivi wewe ulishawahi kupata mwanaume kweli??
Ni PM , utasahau ujinga wote wa ccm!
 
Back
Top Bottom