Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Tanga

Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Tanga

kazana, kazana.. utakapo amka utashangaa kukuta slaa anaingia white house
 
Mkuu JK tuheshimu watu wengine. Huwezi ku-rule out kuwa CCM asilimia fulani wakati matokeo ndo bado yanatolewa. Heshimu binadamu wenzako. Usitype tu kwa kuwa unaweza kutype.
 
huyu ni mjinga; sema kweli matoeka siyo siri
 
Hata kama kweli, Tanga twawajua, wavivu kufikiria, sembuse kujua kama nchi inachukuliwa na wenyewe...kwa hili watakuwa 'waja leo bila kurudi' watauona mwezi...JK chali...'majuha' wameamua kuikamata nchi yao'
 
....CCM utawajua tu kwa kujipa moyo..atutajie jimbo moja tu ambalo wameshinda....awe detailed kidogo kuhusu idadi ya kura, waliopiga au ngapi zimeharibika...asilimia hiyo inaweza kuwa ni ya walevi aliowakura kilabuni au wauza mitumba sokoni...
 
Habari nilizozipata sasa hivi

CCM 89%

CUF 8%

Chadema 3%

nitaendelea kuwaabalisha maana CCM inaongoza hata mikoa mingine

Usisahau kutuletea na ya Moshi mjini, Arusha Mjini, Karatu, Nyamagana , Ilemela , Musoma na kwingineko
 
Back
Top Bottom