makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,218
matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)
matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)
matokeo yanaonesha dhahir slaa amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)
matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)
matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)
hawa jamaa hawataki mchezo wao wanajiita wamezaliwa wanajeshi toka matumboni mwa mama zao
Jamani mbona mnatukandia hivyo sisi wazaliwa wa huko? imekuwa nong'wa sisi kujua na kutetea haki zetu? sisi pia ni watu siyo wanyama, tuna upendo na huruma kama watu wengine ila tu hatukaki kuonewa.
George Marato ameripoti sasa hivi ITV kuwa Chadema wameongoza kata tisa za jimbo la Musoma Mjini na CCM ina kata 2 na CUF kata 2. Matokea ni ya raisi na wabunge. Matokea rasmi ya ubunge yatatangazwa in 20 minutes hivi, so stay tunedHapa Nyamongo ndo wanamalizia majumuisho ila chadema wameshinda kwa zaidi ya kura 250 katika kata zote za Matongo katika nafasi ya Ubunge na zaidi kwnye nafasi ya uraisi..Then matokeo haya yatapelekwa tarime kwa majumuisho ya wilaya nzima.
Jamani mbona mnatukandia hivyo sisi wazaliwa wa huko? imekuwa nong'wa sisi kujua na kutetea haki zetu? sisi pia ni watu siyo wanyama, tuna upendo na huruma kama watu wengine ila tu hatukaki kuonewa.
Arusha mjini tumeshinda na tuna viti zadi ya 14 maana bado viwili vinahesabiwa kati ya 19....Chadema 14, ccm 3, tlp 1safi sana wadau kutoka arusha vipi jamani
matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)
Nimeongea na jamaa yangu toka tarime ambaye ni polisi wa jeshi la Jk anasema chadema wameanza kushangilia ushindi imebidi kupiga mabomu kidogo ili kutawanya watu,bado matokeo kamili hayajatangazwa ila chadema kidedea bila ubishi
matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)
Maumivu ya kichwa uanza pole pole chi chi chi chi chimatokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)