Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Tarime

Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Tarime

matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)

Technology acha kabisa hizo longolongo za UDINI. Hakuna cha udini hapa. WATU WAMEANGALIA SERA NA KUTAKA MABADILIKO. KWANINI TUONGOZWE NA CHAMA HICHOHICHO KWA NUSU KARNE????????????

Na kama wewe ni MWISLAMU NA HUKUMPIGIA SLAA KWASABABU NI MKRISTO BASI HUTUFAI KWENYE JF.
 
MAKOYE upeo wako ni mdogo saaaana na kama ulitegemea kila anaeingia ktk JF lazima ampigie SLAA umepitwa na wakati, mwache huyo TECHNOLOGY atoe mawazo yake
 
Jamani tujulishane matokeo ya arusha,kigoma kask.mbeya vijijini,maswa,ubungo na nyamagana
 
Tarime pale sina wasiwasi kwa kweli...lazima watamuenzi Chacha Wangwe!!!
 
matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)

kama umechoka bas ukalale,ndo ki2 gani unataka kupandikiza hapa?kwamba slaa ni wa wakristu?wacha kabisa hyo mada,na je wakisema jk kapewa kura za waislam itakua je?
Wacha kabisa hii ki2
 
matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)

Kwa hiyo wewe Muislam umemchagua JK au Lipumba? Acha Udini, Hatumchagui mtu kwa sababu ya Ukristu wake au Uislam wake. Tunaanngalia Sera na uwezo wa Mgombea. Kuna ambazo ccm wanaongoza na wakazi wa huko ni wakristu, utaelezeaje maeneo kama hayo
 
hawa jamaa hawataki mchezo wao wanajiita wamezaliwa wanajeshi toka matumboni mwa mama zao

Jamani mbona mnatukandia hivyo sisi wazaliwa wa huko? imekuwa nong'wa sisi kujua na kutetea haki zetu? sisi pia ni watu siyo wanyama, tuna upendo na huruma kama watu wengine ila tu hatukaki kuonewa.
 
Hiyo nakuunga mkono ila watu wa Mara wako so friendly but when it's come to haki zao lazima kieleweke.

Jamani mbona mnatukandia hivyo sisi wazaliwa wa huko? imekuwa nong'wa sisi kujua na kutetea haki zetu? sisi pia ni watu siyo wanyama, tuna upendo na huruma kama watu wengine ila tu hatukaki kuonewa.
 
Hapa Nyamongo ndo wanamalizia majumuisho ila chadema wameshinda kwa zaidi ya kura 250 katika kata zote za Matongo katika nafasi ya Ubunge na zaidi kwnye nafasi ya uraisi..Then matokeo haya yatapelekwa tarime kwa majumuisho ya wilaya nzima.
George Marato ameripoti sasa hivi ITV kuwa Chadema wameongoza kata tisa za jimbo la Musoma Mjini na CCM ina kata 2 na CUF kata 2. Matokea ni ya raisi na wabunge. Matokea rasmi ya ubunge yatatangazwa in 20 minutes hivi, so stay tuned
Source ITV George Marato

Pia Moshi mjini Chadema wanaongoza, nawatatangaza any time kuanzia sasa
Source ITV
 
Jamani mbona mnatukandia hivyo sisi wazaliwa wa huko? imekuwa nong'wa sisi kujua na kutetea haki zetu? sisi pia ni watu siyo wanyama, tuna upendo na huruma kama watu wengine ila tu hatukaki kuonewa.

.
Mkuu Tarime nawaaminia kwa ukakamavu. Hukisimamie kile wanachokiamini ikibidi kwa gharama yoyote.
 
matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)

Mkuu mawazo yako si ya kujenga bali kubomoa, sikutegemea Junior Member kuja hapa na mawazo ya kidini, unapopandikiza hisia za udini zinakusaidia nini?
huyo ni kuonyesha mawazo yako ni finyu sana huwezi kufikiri outside the box. Kwa hiyo wewe kura zako zote umepiga kwa kufuata dini yako, pole sana kwa kukosa hekima. Badilika hii ni Tanzania
 
Nimeongea na jamaa yangu toka tarime ambaye ni polisi wa jeshi la Jk anasema chadema wameanza kushangilia ushindi imebidi kupiga mabomu kidogo ili kutawanya watu,bado matokeo kamili hayajatangazwa ila chadema kidedea bila ubishi

Asante mkuu.
 
matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)

kaka udini na siasa ni vitu viwili tofauti Kiongozi yeyote awaye hata akichaguliwa na waumini wake usidhani watapewa special attention, Hospital bado zitakuwa za wote, shule za wote barabara zitakuwa za wote wala hutaulizwa kadi ya dini unapoenda kupata huduma yoyote.

USHAURI WA BURE UDINI HAUTAKUSAIDIA KAKA, jiepushe na udini. after all uwe mkiristo au mwisilamu utaonja mauti, UDINI WA NINI WAKATI VITU VYOTE VYA DUNIA TUTAVIACHA?
 
:smile-big: Raaaaahaaaa Kamili! Leteni habari jamani.
 
Back
Top Bottom