Pre GE2025 Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaongeza mori wa madai ya Katiba mpya kabla ya 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,635
Reaction score
2,271
Madai ya Katiba Mpya yalikuwa yamepoozwa 4Rs ambazo baadaye ilionekana si suala la dhati.

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaongeza mori wa madai ya Katiba mpya kabla ya 2025.

Kwa yaliyotokea kuanzia maandalizi na matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa imeonyesha hakuna uwazi katika masuala ya uchaguzi.
 
Vyombo vya ulinzi na usalama ndio chanzo HALISI cha Matatizo. Maaskari wanatumika kuharibu uchaguzi na kuwabeba CCM, ila malipo ni hapa hapa duniani, maaskari wakistaafu wengi hawapati pensheni zao wanakuta salio ni 0 🤣🤣.
Ccm endeleeni kula hela za pensheni za maaskari mpaka wakute salio ni 0 🤣🤣
Wengine walikuja kulalamika humu JF kuwa pensheni hazipo

Polisi wamesimama na wezi wa kura. Shame on you police.
 
Vyombo vya ulinzi na usalama ndio chanzo HALISI cha Matatizo. Maaskari wanatumika kuharibu uchaguzi na kuwabeba CCM, ila malipo ni hapa hapa duniani, maaskari wakistaafu wengi hawapati pensheni zao wanakuta salio ni 0 🤣🤣.
Ccm endeleeni kula hela za pensheni za maaskari mpaka wakute salio ni 0 🤣🤣
Wengine walikuja kulalamika humu JF kuwa pensheni hazipo

Sijui wanalipwa sh ngapi
 
Back
Top Bottom