Vyombo vya ulinzi na usalama ndio chanzo HALISI cha Matatizo. Maaskari wanatumika kuharibu uchaguzi na kuwabeba CCM, ila malipo ni hapa hapa duniani, maaskari wakistaafu wengi hawapati pensheni zao wanakuta salio ni 0 🤣🤣.
Ccm endeleeni kula hela za pensheni za maaskari mpaka wakute salio ni 0 🤣🤣
Wengine walikuja kulalamika humu JF kuwa pensheni hazipo
➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa na C/NO yake ya kupatia Mshahara kutoka Hazina (Pay Slip tunazo). ➤ Tukiwa katika ajira tulikuwa...