Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
Kinyume chake ni manja,wajanja waliwahi.mapingamizi wapite bila kupingwaMm najua Mh. Rais Magufuli kafanya makubwa mengi sanaaa na nitampigia kura tena, ila wasiwasi wangu mkubwa ni mmoja tu, ugumu wa maisha ya watu unaweza wapa kura kwa upinzani, sababu watu sasa hivi wanaelewa mambo sana sbb ya mitandao, pia wengi wana elimu ya juu na ushawishi mkubwa na kuchambua mambo, pia watumishi hali zao, hivi vyote vinaweza leta sintofahamu katika upigaji kura, hivyo CCM inahitaji tutumie kila mbinu kushinda, sbb hali kidogo ni ngumu mitaani