Uchaguzi 2020 Matokeo ya uchaguzi yatawashangaza wengi

Kinyume chake ni manja,wajanja waliwahi.mapingamizi wapite bila kupingwa
 
Mkuu hivi PHD unaenda kuchukua lini una akili sana
 
Kwa kipi? ndoto huzaa matokeo? kazi kweli kweli.

Nilichosema Sina shaka nacho, iwapo wapinzani watasimama kuhakikisha mgombea halali anatangazwa kwa nafasi yoyote, kuanzia urais, ubunge ama udiwani, machafuko hadi mauaji ni lazima yatokee.
 
Siku zote mwisho wa ubaya huwa ni aibu na ndicho kinachowasubiri CCM na mgombea wao utadhania hawajuwi hali ya maisha ilivyokuwa ngumu mitaani namna wanavowatishia waandishi wa habari kuandika wanachopenda kusikia namna walivyo minya uhuru wa watu ambao ndiyo msingi mkubwa wa maendeleo mtu asipokuwa huru hata umfanyeje hawezi kuridhika hata siku moja.

Kama ni maji yameshamwagika CCM wajiandae kukubali matokeo mwaka huu hakuna namna. Walikuwa na nafasi ya kumshauri Rais wakati anatawala kuangalia maslahi ya wafanyakazi lakini wakachagua kuogopa. Sasa hivi hata wakitaja miradi hawataji uwanja wa chato kwanini hawajivunii uwanja mpya wa kimataifa ndiyo wanazinduka usingizini ngoja kampeni zikiendelea wataanza kulaumiyana upepo ukizidi kubadilika
 
Tumechoka kwelikweli!!!! Miaka mitano tunanyanyasika!!! Ndugu wakituomba hela tunawakatia cm!!! Xo tired
 

Wakati wa kupiga kura kila mtu ana matarajio yake, hivyo vigezo ni vingi na sio lazima iwe hivyo watu wanavyohubiriwa kila siku. Ndio maana tunataka tume iwe huru ili kila mtu apate zenye ridhaa ya watu. Watu shughuli zetu zimekwama, huku wanaosaka sifa za kisiasa sio sehemu ya mateso yetu, maana wao wanakula na kusaza.
 
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,

Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuchagua ccm
 
Zaidi ya kuteka watu , kuumiza Lissu , kuminya demokrasia kwa miaka mitano na watu wengine kuokotwa wakiwa maiti akiwemo ofisa wa wizara ya fedha marehemu Lwajabe , ni mambo gani ya tofauti ambayo wengine hawakufanya ambayo amefanya Magufuli ?
 
Nilichosema Sina shaka nacho, iwapo wapinzani watasimama kuhakikisha mgombea halali anatangazwa kwa nafasi yoyote, kuanzia urais, ubunge ama udiwani, machafuko hadi mauaji ni lazima yatokee.

Kwa hiyo sio ushindi wa Lissu ? endelea kuota na kujiaminisha kuwa Jua linatokea magharibi.
 
Mnalazimika kutumia kila mbinu chafu kushinda la sivyo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…