Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Oct 28, 2010 #1 Mwenyekiti wa nec jaji makame aliwaambia waangalizi wa kimataifa kuwa matokeo ya urais ni hadi nov 3. Haya mazingira yatakuwa salama? Scm si wanaweza chakachua sana hawa? Ila matokeo ya ubunge na udiwani yanaweza kuwaumbua
Mwenyekiti wa nec jaji makame aliwaambia waangalizi wa kimataifa kuwa matokeo ya urais ni hadi nov 3. Haya mazingira yatakuwa salama? Scm si wanaweza chakachua sana hawa? Ila matokeo ya ubunge na udiwani yanaweza kuwaumbua
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,357 Oct 28, 2010 #2 hp ndipo patakuwa pazuri na hataweza kurekebisha, kwani watu watakuwa na idadi ya majimbo yote yeye itakuwa ni kuitaja jumla ambayo tayari inajulikana
hp ndipo patakuwa pazuri na hataweza kurekebisha, kwani watu watakuwa na idadi ya majimbo yote yeye itakuwa ni kuitaja jumla ambayo tayari inajulikana