Elections 2010 Matokeo ya urais baada ya siku tatu!

Elections 2010 Matokeo ya urais baada ya siku tatu!

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Mwenyekiti wa nec jaji makame aliwaambia waangalizi wa kimataifa kuwa matokeo ya urais ni hadi nov 3. Haya mazingira yatakuwa salama? Scm si wanaweza chakachua sana hawa? Ila matokeo ya ubunge na udiwani yanaweza kuwaumbua
 
hp ndipo patakuwa pazuri na hataweza kurekebisha, kwani watu watakuwa na idadi ya majimbo yote yeye itakuwa ni kuitaja jumla ambayo tayari inajulikana
 
Back
Top Bottom