Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Join DateMon Nov 2010Posts2Thanks0Thanked 0 Times in 0 PostsJamani kwa mujibu wa NEC na ZEC, Rais Kikwete na Dk.shein tayari wameshashinda na wanasubiri kuapishwa tu siku ya ijumaa.
Wengine wakubali matokeo tu,hakuna uchakachuaji
Hata TANGA Prof.Lipumba anashindwa kupata kura za kutosha na JK anaongoza majimbo yote hayo hamuoni kuwa hiyo ni dalili mbaya kwa upinzani
Jamani kwa mujibu wa NEC na ZEC, Rais Kikwete na Dk.shein tayari wameshashinda na wanasubiri kuapishwa tu siku ya ijumaa.
Wengine wakubali matokeo tu,hakuna uchakachuaji