Elections 2010 Matokeo ya urais - Kwa mujibu wa mwananchi.co.tz

Elections 2010 Matokeo ya urais - Kwa mujibu wa mwananchi.co.tz

Hii maana yake nini? Mnataka kusema Synovate walikuwa karibu na ukweli. Hata kidogo hebu tusubiri NEC.
 
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateMon Nov 2010Posts2Thanks0Thanked 0 Times in 0 PostsKARIBU JF
 
Hiyo Pie Chart imechakachuliwa. kura 289900 zilizoharibika hazilingani na hazina uwiano na mchoro wake
 
Kumbukeni majibu ya majimbo kumi yaliotangazwa na NEC ni almost 60% Pemba, bara ni about 40% (Mtwara mjini, Singida mjini, Babati na Bukoba mjini). Bukoba mjini Dr. Slaa kaongoza kwa about 51%, Pemba Prof. Lipumba kaongoza for about 80%, Babati, Singida, Mtwara mjini Kikwete for about 65%.

Bado majimbo mengine ambako trend itatofautiana na haya yaliyotangazwa, so be patient.

Sawa Kikwete atamshinda Dr. Slaa, lakini siyo kama inavyooneshwa na matokeo haya ya majimbo 10.
 
Jamani kwa mujibu wa NEC na ZEC, Rais Kikwete na Dk.shein tayari wameshashinda na wanasubiri kuapishwa tu siku ya ijumaa.

Wengine wakubali matokeo tu,hakuna uchakachuaji

Acha ujinga wako wewe f2&*^mhjdbvfshbv utavishwa khanga
 
Mwanza JK kapitwa mabli sana na Slaa, Pia masha kaachwa mbali sana na Wenje, masha baada ya kuambiwa hiyo hali jana jioni alianguka na kuzirai na wakamkimbiza hospital, leo JK alienda asubuhi kumjulia hali

Mwanza wamefanya kitu kizuri kabisa, hizo kura hazichakachuliki watu kweli walikuwa serious , msimamizi wa uchaguzi kila akitoka nje kutaka kutangaza matokeo aliyoyachakachua kwa presha ya wakubwa, anaona vijana na madebe ya petrol wanamsubiri anarudi ndani kwa spidi huku analia, hali ni ngumu mno mwanza, watu wametanda hapo kutwa nzima wanasubiri matakeo,

nyepesinyepesi zinasema kuwa katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora JK kapitwa Dk Slaa kwa mamilioni ya kura, maana hiyo mikoa mitatu ina wapiga kura wanaokaribia milioni nne
 
Hivi haya matokeo yatakamilika lini, kucheleweshwa huku kunamaanisha nini? Matokeo ya Urais yalitakiwa kuwa tayari mpaka mida hii. Wadau nipeni update za tume kama wametoa mengine.
 
Mimi niliwaambia haya sasa Dk.Shein ameshatangazwa na ZEC tayari,CUF chama cha wapemba kilishindwa kujipenyeza Unguja.
 
Back
Top Bottom