Mwanza JK kapitwa mabli sana na Slaa, Pia masha kaachwa mbali sana na Wenje, masha baada ya kuambiwa hiyo hali jana jioni alianguka na kuzirai na wakamkimbiza hospital, leo JK alienda asubuhi kumjulia hali
Mwanza wamefanya kitu kizuri kabisa, hizo kura hazichakachuliki watu kweli walikuwa serious , msimamizi wa uchaguzi kila akitoka nje kutaka kutangaza matokeo aliyoyachakachua kwa presha ya wakubwa, anaona vijana na madebe ya petrol wanamsubiri anarudi ndani kwa spidi huku analia, hali ni ngumu mno mwanza, watu wametanda hapo kutwa nzima wanasubiri matakeo,
nyepesinyepesi zinasema kuwa katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora JK kapitwa Dk Slaa kwa mamilioni ya kura, maana hiyo mikoa mitatu ina wapiga kura wanaokaribia milioni nne