Matokeo ya Usahili(interview) IAA

Matokeo ya Usahili(interview) IAA

Truth sniper

Senior Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
130
Reaction score
202
Habari wakuu,

Wiki kadhaa zilizopita palifanyika usahili wa kada tofauti mwajiri akiwa IAA, Kuna yeyote amebahatika kupata wito wa ajira.
 
Kuna watu walifanya oral mwezi wa 6 na hadi sasa wanaendelea kusubiri kuitwa kazini.

Kuwa mtulivu na omba Mungu uendelee kuwa mwenye siha njema, majibu yanaweza kuzoka mwakani
 
Kuna watu walifanya oral mwezi wa 6 na hadi sasa wanaendelea kusubiri kuitwa kazini.

Kuwa mtulivu na omba Mungu uendelee kuwa mwenye siha njema, majibu yanaweza kuzoka mwakan
Siha Njema unamaanisha nini?
 
Mkuu endelea kusubir na utasubiri sana usiwe na haraka mambo Bado🤣🤣
 
IAA kada zingine kama Assistant Lecturer mbona hajaita Interview hadi leo?
 
Kuna watu walifanya oral mwezi wa 6 na hadi sasa wanaendelea kusubiri kuitwa kazini.

Kuwa mtulivu na omba Mungu uendelee kuwa mwenye siha njema, majibu yanaweza kuzoka mwakani
😂😂😂😂 Mwakani tena hahhh umeamua umuue kabisa
 
Back
Top Bottom