Truth sniper
Senior Member
- Jan 22, 2012
- 130
- 202
Siha Njema unamaanisha nini?Kuna watu walifanya oral mwezi wa 6 na hadi sasa wanaendelea kusubiri kuitwa kazini.
Kuwa mtulivu na omba Mungu uendelee kuwa mwenye siha njema, majibu yanaweza kuzoka mwakan
Siha = AfyaSiha Njema unamaanisha nn?
😂😂😂😂 Mwakani tena hahhh umeamua umuue kabisaKuna watu walifanya oral mwezi wa 6 na hadi sasa wanaendelea kusubiri kuitwa kazini.
Kuwa mtulivu na omba Mungu uendelee kuwa mwenye siha njema, majibu yanaweza kuzoka mwakani