Matokeo ya usaili 'sekretariati ya utumishi wa umma' chemical laboratory technologist ii

Matokeo ya usaili 'sekretariati ya utumishi wa umma' chemical laboratory technologist ii

Basegeta

Senior Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
110
Reaction score
11
Jamani wadau naomba msaada wenu kwa anayejua:
sekretariati ya utumishi wa umma waliendesha usaili mnamo mwishoni mwa mwezi May 2013 MPAKA trh 5 June 2013,
lakini nimeshangaa sana katika majina ya waliofuzu usaili huo ambayo yalitangazwa trh 18 June 2013 baadhi ya kada hawakuonesha waliofuzu na kuitwa kazini ikiwemo kada CHEMICAL LABORATORY TECHNOLOGIST II!!!!!!!!
anayejua anisaidie ni kwa nini?????
 
Back
Top Bottom