Matokeo ya usaili wa somo la Geografia kwa walimu

Matokeo ya usaili wa somo la Geografia kwa walimu

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,092
Reaction score
2,210
Jaman matokeo ya usaili wa somo la geografia yametoka. Idadi ya waliochaguliwa ni ndogo sana.

Jumla ya watainiwa ilikuwa 20,979

Ambao hamechaguliwa (selected) ni 948

Na ambao hawajachaguliwa (Not selected) jumla ni 20,031

Ukuzidisha kwa idadi ya mikoa yetu 26 utaona kila mkoa wameitwa watainiwa 36

poleni walimu
 

Attachments

Ni Bora wangechukua kuanzia 50 kuja juu, mi ngoja niende tu nikaombe kazi goma, bongo kumenishinda
 
Teh teh lile jitu liliharibu sana sector ya ajira
 
Hapo ni kutafuta nauli mkatafute kazi za Ualimu Namibia au SA naona Botswana wameweka sheria ya kutokuajiri Walimu na madereva wa Truck kutoka Nje ya mipaka yao wanataka raia tu ndio wafanye hizo kazi..
mkuu unaweza fafanua kidogo kuhusu hili
 
mkuu unaweza fafanua kidogo kuhusu hili
Hizo nchi zinahitaji Walimu hasa wa Chekechea hawa na malipo yao ni mazuri kutegemea kutaka kuajiriwa sehemu ambayo hakuna ajira na huku una ujuzi ni kupoteza muda ni kutafuta fursa nje ya mipaka hakuna kinachoshindikana huko Wenzetu Wakenya na Waganda wanafungua hadi shule zao huko sisi tunashindwa nini..
 
Back
Top Bottom