Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
nimemaliza utafiti baada ya miaka 2 ya uchunguzi.nimegundua kuwa kuwa:kabla ya ndoa wapenzi hufanya mapenzi kwa kujituma wote wawili,hubuni na kufanya style mbalix2.lakini kwenye ndoa asilimia 98 ni kifo cha mende,na kwa wanawake ni kulala kutimiza wajibu tu.ila hali ni tofauti kwa wote wanapotoka nje ya ndoa.mwanaume atasema umenipa vitu ambavyo mke wangu hanipi.mwanamke naye atasema leo nimefurahia mapenzi baada ya muda mrefu.kwa nini hili liko hivi?