matokeo ya utafiti kati ya waliooana na wasiooana

matokeo ya utafiti kati ya waliooana na wasiooana

mmmhhhhhhh wenye ndoa tafadhali tunaomba mtujuze.....tungependa kufahami kabla ya kuingia.....:coffee:

Michelle kuna rafiki yangu mmoja alimwambia mkewe, kuwa achana na mm kwanza yako kubwa ya mwenzio bado iko poa. Sasa jibu alilopata kutoka kwa mkewe ni hawa watoto niliopitisha ulitegemea itakuwa vilevile, subiri na huyo azae tuone kama bado itaendelea kuwa ndogo. Hayo maugomvi yao sasa ni mwaka mmoja na nusu yanaendelea na mwanaume hasikii wala haoni kwa hawara yake.
 
utafati ulifanya kwa kula chabo au vipi????????:twitch:
Ha ha ha unanikumbusha porojo za Dr wangu wa Research techniques Chuoni ansema ukataka kujua watu wanafanya nini usiku wa kwanza wa ndoa unaenda kuchungulia dirishani, ha ha ha. Hata hivyo utafiti unaweza kuwa reality kwa kiasi fulani. Japo kwa upande wangu nadhani I am more free na kufaidi zaid baada ya ndoa kuliko kabla ya hapo kwa sababu you have enough time and space na utulivu wa akili na moyo kuliko kukimbizana guest au porini
 
Back
Top Bottom