Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapa Vip!!
Juzi niliamua kufanya utafiti fulani ili nijue ni kwa Kiasi gani hiki kizazi cha sasa kimeamua kumuasi Mungu kwakukafanya vitendo vile vya sodoma.
Ukweli utafiti wangu nilifanya kwa wadada 6,nilikuwa naenda kama mteja kama nataka mzigo lakini baadaye nachomekea vip nikikuongezea 50,unipe na kule.. Fact ni kwamba hakuna hata mmoja aliyekubali.. Na wanaogopa nakukumbia.
Ukweli ni kwamba mwanamke anayetoa kule na mwanaume anayetumia kule anaroho ngumu sana na anaala, ni mwanamke anaweza hata kukutoa roho kama anaweza kuhasi maumbile yake.
Hawa wadada pamoja na kutafuta pesa kwa njia haramu lakini bdo wana hofu Ya Mungu..
Rai yangu,tuache kuiga vitu tusivyovijua.Na kibaya zaidi eti kizazi hichi wanachukulia kama kwenda na wakati na hususani watu wa dar.
Wanawake kataeni hii dhambi kubwa isiyo sameheka kama ile Ya shetani.