Matokeo ya utafiti yametoka

Matokeo ya utafiti yametoka

kethika

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
630
Reaction score
472
Nimefanya utafiti wa kutosha na nimekamilisha kazi hii na ninaamini matokeo haya yana ukweli kwa asilimia 97%.

Baaada ya utafiti huu nimegundua kuwa UKIONA HUNA HELA NA BADO MWANAMKE ANAKUPENDA LAZIMA UJIULIZE KAMA HUYO MWANAMKE AIDHA NI MAMA YAKO AU DADA YAKO WA KUZALIWA TUMBO MOJA. NJE YA HAPO VITENDO HIVYO VYA UPENDO UKIVIONA HESABU NI FADHILA TU SO UKIPEWA SHUKURU NA USIPOPEWA USITOE POVU!

Naomba kuwasilisha.

Kama mtu ana matokeo tofauti na haya atueleze hapa.
Karibuni.
 
Vinginevyo vikojoleo vinatoshana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukipewa shukuru. Ukinyimwa, usitoe povu.


[HASHTAG]#utafiti[/HASHTAG]
 
HAHAA
SASA KWANI WEWE HILO WALIJUA LEO BAB....mwanamke nikama mtoto mdogo tu ..ukikaa nae kisha ikapita bidhaa yoyote mbele ya macho yake akiipenda lazima ataililia ...kimbembe kinakuja ukiwa huna hela ...yaani hata kitu cha sh.6000 washindwa kununua unabaki unatoa macho tu kama fundi SAA aliyepoteza bolt ...


kwaupande wangu huwa sitaki mazoea na mtoto wakike kabisaaa pindi nikiwa sina pesa...kwanza nakuwa sipo comfotable na loose control .kujiamini 0 nakuwa kama boya tu ...
kwanza mpka namtafuta wakati sina hela nataka nigundue nini dharau au ??
 
Mkuu unaanzaga vizuri lakini kumaliza shidaaa

tatizo umeandika haraka haraka
 
Sina Hela na Nina Demu Mkali tu.....Ananipa Ninachohitaji Katika Penzi
 
Back
Top Bottom