Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Kama umepata bahati ya kumsikiliza Haji Manara leo, ukaweka mahaba pembeni lazima utakubaliananae kuwa kuna mahala hapako sawa ndani ya Club ya Simba.
Lengo la Haji halikuwa kuibomoa Simba, na wala hakuisema vibaya vibaya club yake ya wekundu wa msimbazi, lengo la Haji kuwaonyesha mashabiki the way kaitumikia timu, aliyokutananayo katika utumishi wake na alivyoondoka.
Swali la Manara ambalo amewaachia wanasimba, je! Bilion 21 iliyotoka ndani ya miaka minne ilikuwa mkopo au ruzuku? Je! Procedure zilifuatwa?
Kama Mo alisema hawezi kupokea Billion 41 za Azam alikataa hiyo fedha kwasababu ndogo au aliikataa kwasababu za interest zake za kibiashara?
Kuwa mmiliki wa club ni lazima jezi ya club iwe na biashara zako? Ikitokea Kampuni kama Azam anataka kutangaziwa tangazo lake na Simba Sport Club na hela akaweka yakutosha tu ilimradi nembo yake ionekane mbele ya jezi ya Simba atakubaliwa na Bodi?1
Simba kuna mgongano wa kimaslahi sana kitu ambacho kama kiongozi yakupasa kukikwepa.