Matokeo ya uwanjani yamewapumbaza washabiki na wanachama wa Simba.

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Kama umepata bahati ya kumsikiliza Haji Manara leo, ukaweka mahaba pembeni lazima utakubaliananae kuwa kuna mahala hapako sawa ndani ya Club ya Simba.

Lengo la Haji halikuwa kuibomoa Simba, na wala hakuisema vibaya vibaya club yake ya wekundu wa msimbazi, lengo la Haji kuwaonyesha mashabiki the way kaitumikia timu, aliyokutananayo katika utumishi wake na alivyoondoka.

Swali la Manara ambalo amewaachia wanasimba, je! Bilion 21 iliyotoka ndani ya miaka minne ilikuwa mkopo au ruzuku? Je! Procedure zilifuatwa?

Kama Mo alisema hawezi kupokea Billion 41 za Azam alikataa hiyo fedha kwasababu ndogo au aliikataa kwasababu za interest zake za kibiashara?

Kuwa mmiliki wa club ni lazima jezi ya club iwe na biashara zako? Ikitokea Kampuni kama Azam anataka kutangaziwa tangazo lake na Simba Sport Club na hela akaweka yakutosha tu ilimradi nembo yake ionekane mbele ya jezi ya Simba atakubaliwa na Bodi?1

Simba kuna mgongano wa kimaslahi sana kitu ambacho kama kiongozi yakupasa kukikwepa.
 
Ndo mlimtuma Manara akachafue brand ya simba?,kabla ya MO,Manara Simba ilikuwaje kipindi hicho? Ushauri wako ni upi juu ya Simba kwa sasa? Je aliyoyasema Manara [emoji817]% umeyaamini? Kama wewe ni mwelewa jaribu kulinganisha clip ya Manara kwenda kwa Barbra na aliyoyasema leo then ukipata jibu njoo ufute hii thread yako uandike upya!

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mzee Manara hajaishutumu Simba ila Bilion 21 ni mkopo au ruzuku? Mo alipata hasara akiwa Singida United pamoja na Afrian Lyon ila hawezi pata hasara kwa Simba hojini mpate haki zinazostaili za club ama sivyo mwisho wa siku ye ataondoka ataicha club haina ata hela mtarudi nyuma.
 
Kama umepata bahati ya kumsikiliza Haji Manara leo, ukaweka mahaba pembeni lazima utakubaliananae kuwa kuna mahala hapako sawa ndani ya Club ya Simba.

Lengo la Haji halikuwa kuibomoa Simba, na wala hakuisema vibaya vibaya club yake ya wekundu wa msimbazi, lengo la Haji kuwaonyesha mashabiki the way kaitumikia timu, aliyokutananayo katika utumishi wake na alivyoondoka.

Swali la Manara ambalo amewaachia wanasimba, je! Bilion 21 iliyotoka ndani ya miaka minne ilikuwa mkopo au ruzuku? Je! Procedure zilifuatwa?

Kama Mo alisema hawezi kupokea Billion 41 za Azam alikataa hiyo fedha kwasababu ndogo au aliikataa kwasababu za interest zake za kibiashara?

Kuwa mmiliki wa club ni lazima jezi ya club iwe na biashara zako? Ikitokea Kampuni kama Azam anataka kutangaziwa tangazo lake na Simba Sport Club na hela akaweka yakutosha tu ilimradi nembo yake ionekane mbele ya jezi ya Simba atakubaliwa na Bodi?1

Simba kuna mgongano wa kimaslahi sana kitu ambacho kama kiongozi yakupasa kukikwepa.
Haji kaongea mengi yasiyo consistent.. 2015 Barbara hakua na mamlaka lakini katoa tuhuma this yake, kuna wakati alikua anachanganya issues za Senzo… contract issue is vague

Lakini point ya maana ni role ya Barbara Kwenye transformation ya Simba, kadhihirisha Simba kulikua na wachumia tumbo

I see nothing more than another voyeur story…. Two weeks down the road kila mtu kasahau na maisha yanaendelea
 
Kwanza Barbara inaonyesha alitumikia simba mda mrefu tu lakini tulikuwa hatujui mpaka alipokuja kutambulishwa.
 
Ndo mlimtuma Manara akachafue brand ya simba?,kabla ya MO,Manara Simba ilikuwaje kipindi hicho? Ushauri wako ni upi juu ya Simba kwa sasa? Je aliyoyasema Manara [emoji817]% umeyaamini? Kama wewe ni mwelewa jaribu kulinganisha clip ya Manara kwenda kwa Barbra na aliyoyasema leo then ukipata jibu njoo ufute hii thread yako uandike upya!

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Unajua kuna mambo mengine ni aibu kwakwel
20210804_234920.jpg
 
Kwanza Barbara inaonyesha alitumikia simba mda mrefu tu lakini tulikuwa hatujui mpaka alipokuja kutambulishwa.
She has been a great servant Kwa timu

ule uswahili kama fitna za vyama vya siasa ilikua unawapa mavuvuzela too much space
Which is against soccer business

Good riddance kabisa
 
Hivi kwenye jezi za Yanga hakuna nembo ya GSM?
Je, GSM angewekeza pesa nyingi Yanga kama MO alivyofanya Simba asingetaka biashara zake zitangazwe kwenye jezi?
Hivi sio Manara aliyekua kinara wa kumzodoa Senzo mitandaoni kuwa ni msaliti? Leo Senzo kawa mwema?
Sio Manara aliyedhalilisha waandishi mara kadhaa kwa kisingizio cha kuitetea Simba? Leo kawa msafi na mtema madini?
 
Ayo matokea ya uwanjani yanayopumbaza mashabiki ndo mafanikio na malengo ya club ya Simba.mishahara mizuri kwa wachezaji,kocha mzuri,wachezaji wanapata bonus,mashabiki wa Simba tunapata raha mpaka tunanenepa.
 
Hivi kwenye jezi za Yanga hakuna nembo ya GSM?
Je, GSM angewekeza pesa nyingi Yanga kama MO alivyofanya Simba asingetaka biashara zake zitangazwe kwenye jezi?
Hivi sio Manara aliyekua kinara wa kumzodoa Senzo mitandaoni kuwa ni msaliti? Leo Senzo kawa mwema?
Sio Manara aliyedhalilisha waandishi mara kadhaa kwa kisingizio cha kuitetea Simba? Leo kawa msafi na mtema madini?
Achana na ushuzi wa Utopolo,ni matumizi mabaya ya muda

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Matokeo ya uwanjani yamewapumbaza washabiki na wanachama wa Simba​

Ukiulizwa unataka
wachezaji mahiri katika ukanda huu, matokeo uwanjani na soka safi
AU
maneno ya Manara,
utachagua nini?
 
Kama umepata bahati ya kumsikiliza Haji Manara leo, ukaweka mahaba pembeni lazima utakubaliananae kuwa kuna mahala hapako sawa ndani ya Club ya Simba.

Lengo la Haji halikuwa kuibomoa Simba, na wala hakuisema vibaya vibaya club yake ya wekundu wa msimbazi, lengo la Haji kuwaonyesha mashabiki the way kaitumikia timu, aliyokutananayo katika utumishi wake na alivyoondoka.

Swali la Manara ambalo amewaachia wanasimba, je! Bilion 21 iliyotoka ndani ya miaka minne ilikuwa mkopo au ruzuku? Je! Procedure zilifuatwa?

Kama Mo alisema hawezi kupokea Billion 41 za Azam alikataa hiyo fedha kwasababu ndogo au aliikataa kwasababu za interest zake za kibiashara?

Kuwa mmiliki wa club ni lazima jezi ya club iwe na biashara zako? Ikitokea Kampuni kama Azam anataka kutangaziwa tangazo lake na Simba Sport Club na hela akaweka yakutosha tu ilimradi nembo yake ionekane mbele ya jezi ya Simba atakubaliwa na Bodi?1

Simba kuna mgongano wa kimaslahi sana kitu ambacho kama kiongozi yakupasa kukikwepa.
Maneno mengiii. POROJO TU
 
Ulitaka timu ipotee iwe kila mja anajipigia afu ndio tuseme haijatupumbaza..? Akili zingine zina walakini hivi umewaza vzr kabla ya kuandika hili andiko lako.
 
Haji kaongea mengi yasiyo consistent.. 2015 Barbara hakua na mamlaka lakini katoa tuhuma this yake, kuna wakati alikua anachanganya issues za Senzo… contract issue is vague

Lakini point ya maana ni role ya Barbara Kwenye transformation ya Simba, kadhihirisha Simba kulikua na wachumia tumbo

I see nothing more than another voyeur story…. Two weeks down the road kila mtu kasahau na maisha yanaendelea
Mwana umeona mbali nilipopaona pia. Kuna watu mle simba walikua wapiga dili sawa hii transformation kwao hawaitaki maana inawatoa kwenye kuchumia tumbo. Uzuri mabadiliko yoyote lazima wakutolewa watolewe ili taasisi ijengeke kwa kufuata misingi na taratibu iliyojiwekea.
 
Back
Top Bottom