chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,567
Wakurungwa niaje niaje, leo ni siku ya kwanza baada ya ile siku muiitayo ya wapendao, mengi yametokea mazuri kwa mabaya. Ila mazuri yaliyotokea hayazidi mabaya yaliyo tokea, mabaya ni makubwa sana ambayo hayafai katika ulimwengu huu na hata ulimwengu usio kuwepo.
Jana nimeona watu wakitoka na watu wao ili kufurahia siku hiyo mashuhuri, baadhi yao wamepostiana mitandaoni wengine wakinunua maua na zawadi nyengine kwa nyengine.
Jana pia nilikuwa na mmoja (mteja) nilimpeleka akafumanie ila fumanizi hilo halikufanikiwa.
Ila lengo la kuweka uzi huu ni kuona moja ya clip video huko mtandaoni mdada wa watu akipigwa risasi karibia 20 na mtu ambae hakuonekana kwa sura na hiyo clip video inaonesha mazingira ya kibongo bongo kwa kuwa matamshi niliyo yasikia ni kuwa "Nisamehe" baada ya kuongea maneno hayo alimiminiwa risasi nyingi sana,Mola wetu amuweke panapo stahili huko.
Binafsi si mtaalamu/mshauri wa mapenzi ila sipendezewi kuona watu kwenye mahusiano ya kutumia sheria mkononi.
Neno tuachane ni jepesi kuliko kutumia sheria ya mwisho.
Shusha ulichokiona/kilichotokea/kukutokea huko siku ya wapendanao.