Martin Mhina
Senior Member
- Jul 24, 2013
- 169
- 37
Mmmmh kweli,?
Me nauliza tareh uliotaja hapo /afya/ n ya kweli kaka? Na kwa matokeo haya unaweza pata kwel yan D ktk masomo ya chem,kngrza,maths pamoja n C ktk bioz. Me nipo interested sana na afya , lakn ualimu pia wamenichagua na sihipend, naomba ushaur wako kaka
FRANK BAHATI amesoma BUKOLI jalibu kuangalia vizuri mkuu
basi huyo atakuwa hayupo!
Aliyepo amesoma maziwa na anuani yake ni BOX 1426 MBEYA namba yake form four ni S2684/0116
FRANK BAHATI amesoma BUKOLI jalibu kuangalia vizuri mkuu
huyo asiwe mbishi hata mie nimemwona huyo aliesoma MAZIWA tu,kama ni mwingine imekula kwake.
Sasa wakubwa mm nimepata nimepangiwa nachingwea ila kwenye aina ya mafunzo nimepangiwa awali,naomba ufafanuzi kama sielewi hv?coz kuna wengine wamepangiwa aina ya mafunzo kawaida.mm awali hii vp?