Matokeo ya vyuo vya ualimu hewan leo

Matokeo ya vyuo vya ualimu hewan leo

Kk ucjar nimepata taarfa kuwa zinatoka tar 15 mwezi wa nane ucchoke kusubilia mkuu!
 
Me nauliza tareh uliotaja hapo /afya/ n ya kweli kaka? Na kwa matokeo haya unaweza pata kwel yan D ktk masomo ya chem,kngrza,maths pamoja n C ktk bioz. Me nipo interested sana na afya , lakn ualimu pia wamenichagua na sihipend, naomba ushaur wako kaka
 
Hiyo tar ni ya ukweli, na uliomba koz gan mku?
 
FRANK BAHATI
amesoma MAZIWA sio?
Basi kapangiwa MPUGUSO

FAIDA DEUS
amesoma BUKOLI sio?
Basi kapangiwa SHINYANGA
 
basi huyo atakuwa hayupo!
Aliyepo amesoma maziwa na anuani yake ni BOX 1426 MBEYA namba yake form four ni S2684/0116

huyo asiwe mbishi hata mie nimemwona huyo aliesoma MAZIWA tu,kama ni mwingine imekula kwake.
 
Nmeomba ngaz y chet ktk labor, lakin naweza kupata?
 
Sasa wakubwa mm nimepata nimepangiwa nachingwea ila kwenye aina ya mafunzo nimepangiwa awali,naomba ufafanuzi kama sielewi hv?coz kuna wengine wamepangiwa aina ya mafunzo kawaida.mm awali hii vp?
 
Sasa wakubwa mm nimepata nimepangiwa nachingwea ila kwenye aina ya mafunzo nimepangiwa awali,naomba ufafanuzi kama sielewi hv?coz kuna wengine wamepangiwa aina ya mafunzo kawaida.mm awali hii vp?

matokeo yako yalikuwaje?
 
Back
Top Bottom