Matokeo ya vyuo vya ualimu mwaka huu, mbona yanachelewa?

Matokeo ya vyuo vya ualimu mwaka huu, mbona yanachelewa?

SHINYAKA

Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
74
Reaction score
39
wana jf, habari, naomba kuhabarishwa aliye na taarifa ya matokeo ya vyuo vya ualimu iliyofanywa mtihani wake may 2001
naomba kuwakirisha.
 
hata kiswahili hujui..unaomba kuwakirisha ndo nn sasa...hebu kuwa siriaz acha masihala yako,post kama hizo kaweke fb
 
Baraza la Mitihani la Taifa mara zote wako makini katika kuandaa matokeo ya mitihani. Wakikurupuka ili kuwafurahisha watahiniwa ni hatari katika mfumo wa elimu. Tafadhali vuta subira matokeo yatatoka tu bwana mdogo.
 
hawana hela ya kutoa ajira na hivyo wanachelewesha wasije kuwaacha mtaani huku shule hazina walimu kitendo ambacho kinaweza kuwachukiza wananchi
 
hawana hela ya kutoa ajira na hivyo wanachelewesha wasije kuwaacha mtaani huku shule hazina walimu kitendo ambacho kinaweza kuwachukiza wananchi
<br />
<br />
hata saivi si wapo mtaani.
 
Selectnz r out..tangu muda mrefu..ww wa wap?
Hata unavyoandika unaonekana hazikutoshi. Selection ipi? Mtu anauliza matokeo ya mitihani wewe unajibu kuhusu selection. Maskini Tanzania watu wako wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Back
Top Bottom