Matokeo ya walioomba nafasi za mafunzo ya ualimu na afya 2013/2014 yatatoka lini wadau nijuzeni kama

Ibnu Nindi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
388
Reaction score
71
Selection za ualimu, afya na kilimo za toka lini wana jf nijuzeni
 
Kuna tetesi zinatembea maofisini zinadai kabla ya tarehe 24/June mwaka huu, post za watumishi wapya wa Afya zitakuwa zimetoka.

Tetesi hizo zina uthibitisho mkubwa kwani Tangazo rasmi la wizara ya Afya linawataka watu wote watakaoajiliwa kuripoti kwenye vituo vyao watakavyokuwa wamepangiwa kabla ya tarehe 25/June mwaka huu.
 
umeelewa maada kaka au upo tungi!
 
Back
Top Bottom