Ibnu Nindi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 388
- 71
Selection za ualimu, afya na kilimo za toka lini wana jf nijuzeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tetesi zinatembea maofisini zinadai kabla ya tarehe 24/June mwaka huu, post za watumishi wapya wa Afya zitakuwa zimetoka.
Tetesi hizo zina uthibitisho mkubwa kwani Tangazo rasmi la wizara ya Afya linawataka watu wote watakaoajiliwa kuripoti kwenye vituo vyao watakavyokuwa wamepangiwa kabla ya tarehe 25/June mwaka huu.