Kuna tetesi zinatembea maofisini zinadai kabla ya tarehe 24/June mwaka huu, post za watumishi wapya wa Afya zitakuwa zimetoka.
Tetesi hizo zina uthibitisho mkubwa kwani Tangazo rasmi la wizara ya Afya linawataka watu wote watakaoajiliwa kuripoti kwenye vituo vyao watakavyokuwa wamepangiwa kabla ya tarehe 25/June mwaka huu.