Level ya simba ni mashujaaHizi timu ndio level ya yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Level ya simba ni mashujaaHizi timu ndio level ya yanga
Mashujaa?!!! Hii ni haki kweli?Tukuyu?!!!! hii dharau kabisa
Na sasa ni mashujaaNikweli kama green warriors walivyokutoboa
Vip kuhusu mashujaa?Yaani Yanga imefikia kiwango cha kucheza na Tukuyu Stars? Hii band sasa hivi inashuka daraja
Vipi ķuhusu hawa jamaa?Yaani Yanga imefikia kiwango cha kucheza na Tukuyu Stars? Hii band sasa hivi inashuka daraja
Tunåishangilia Mashujaa na Green warriorsEti wanashangilia Yanga kuifunga Tukuyu Stars....... Hahahahah!
Vipi hawa jamaaaHizi timu ndio level ya yanga
Mashujaaa fc?Tukuyu?!!!! hii dharau kabisa
Na sasa ni mashujaa
Eti wanatoa mapovu Simba kufungwa na Mashujaa fc............. Hahahahah!Eti wanashangilia Yanga kuifunga Tukuyu Stars....... Hahahahah!
Gor Mahia walishachukua kombe la Washindi (CAF Winners Cup) kwa kuifunga Al-Ahly. Kweli wewe ni mtoto mdogo bado
Umesoma uzi wangu vizuri lakini? Nimesema Simba ndiyo timu pekee ya ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati kutinga fainali kombe la CAF (mabingwa), wewe unaongelea kombe la Washindi, unazo kichwani kweli wewe au ulibanwa tu na mavi?