Matokeo yaliyorudiwa kusahishwa yametoka


mwambie mdogo wako ajitahidi kusoma huko mbelen hakutakua na favor,maana hii promotion for 2015 tu,ila kiukweli wadogo zetu hawasomi mdau,nna uzoefu wa kusimamia mitihan ya necta kwa muda mrefu tu,kwakweli majibu wanayoyaandika kwenye BOOKLETS ZAO NI MAJANGA,ILA TU ETHICS ZA KAZI HAZIRUHUSU KUMREKEBISHA MWANAFUNZ JINS YA KUJIBU,,,,,
WENGINE AKISHAGAIWA KARATAS ANALALA HAD PEPA INAISHA,HAYA YANAFANYIKA HAPAHAPA DAR CJUI HUKO VIJIJIN
 
bado hayajatoka

ni kweli mdau,tangu LUKUVI ATANGAZE,MAOFISA AU WATENDAJ WAKUU WA NECTA WASHAENDA DODOMA ZAID YA MARA 4 KWA AJIL YA VIKAO KADHAA JUU YA SAKATA HILI,HUKO WALIFANYA VIKAO NA PINDA EVEN WAZIRI WA ELIM,NI SUALA NYETI KWA MTAZAMO WA NJE TU LINAONEKANA,
 
Asanteni,kuna mdogo wangu anasema wenzie wameshayapata nimuangalizie sasa nimechek kila mahali cjayaona,nikaona niulize hapa

Mbona ni Jambo rahisi, kama mdogo wako anajua alipopata habari .,basi
Mwambie huyo mdogo wako awaulize wenzie wameyapataje ..
 

Umekosea kuandika heading we ungeweka halama ya kuuliza mwishon ikaonekana ni swali ila hebu soma heading halafu mwenyewe sema ni sentensi au ni swali!!!!ukiwa mbulula kubal na ubadilike au umekuja mjin kwa mbio za mwenge
 
Bado wanayachakachua ili kuhakikisha more than 80% ya waliofanya mtihani ule 2012 wanafaulu kwa kiwango cha juu.
 
dah! kweli mzazi watolee uvivu,hivi ni yule mdogo wako aliyechora mazombi ndio ameambiwa na wenzake walioandika bongo fleva kuwa mzigo umetoka,any way umefanya la mana kumrudisha darasa anaweza hata akajifunza kuchemsha na kuiandaa midahalo tayari kwa kuila,dah hiki kizazi cha mulugo!!!!
 

hahahahahaha hata waliochora mzombi nao mitihani yao imepitiwa upya
 
POLE SANA KIJANA matokeo mlishapewa ulidondokea pua nn? hayatabadirika ni yaleyale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…