Rollers fc ya Botswana wameitandika el merreick ya sudan bao 3-0 ,mshindi kati ya timu hizi watakutana na Dar young African
Aidha
El masry ya nchini Misry imeifurumusha Green Buffaloes ya Zambia mabao 4-0,mshindi kati ya timu hizi watakutana na mnyama simba sc
*Mechi za marudiano watacheza wiki ijayo
Unafananisha hawa wachezaji uliowataja na urojo urojo kina gyan? Ni bora kungojea mda uamue.Hata Simba SC ilipokutana na Zamalek FC mlisema hivi hivi lakini Kikosi hiki.....
kiliweza kuwanyamazisheni Wanafiki wote mnaopatikana makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani. Endeleeni Kukariri hivyo hivyo na bahati nzuri bora Mimi ambaye nikifuzu hapo nakutana na huyo uliyemtaja ila Wewe endapo ukifuzu nina uhakika raundi yako ya tatu utakutana na TP Mazembe ya nchini DRC au Enyimba ya kutoka nchini Nigeria na CAF wakikusamehe kama siyo kukuonea sana huruma wanakupa Al Ahly ya Misri na hapo ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko!
- Juma Kaseja
- Said Swedi
- Ramazan Wasso
- Boniface Pawasa
- Christopher Alex Massawe ( R.I.P )
- Seleman Abdallah Matola ( Captain ) a.k.a Veron a.k.a Mzambia
- Steven Mapunda a.k.a Garrincha
- Shekhan Rashid a.k.a Mido
- Emanuel Gabriel a.k.a Batigol
- Athuman Machupa
- Yusuph Lwenda Macho a.k.a Musso
Vipi baada hapo Simba walichukua ubingwa?. Tuache mzaha wa kuchekana kwenye mechi za kimataifa timu zetu zote zipo kwenye chungu kimoja tu cha uhovyo zinachemshwa labda tuendelee na ujinga wetu wa ligi yetu hii. Hapo ndo tutaniane kuwa yule sijui kachukua ubingwa mara 3 mfululizo mara yule hajashiriki mechi za kimataifa miaka sijui mitano.Hata Simba SC ilipokutana na Zamalek FC mlisema hivi hivi lakini Kikosi hiki.....
kiliweza kuwanyamazisheni Wanafiki wote mnaopatikana makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani. Endeleeni Kukariri hivyo hivyo na bahati nzuri bora Mimi ambaye nikifuzu hapo nakutana na huyo uliyemtaja ila Wewe endapo ukifuzu nina uhakika raundi yako ya tatu utakutana na TP Mazembe ya nchini DRC au Enyimba ya kutoka nchini Nigeria na CAF wakikusamehe kama siyo kukuonea sana huruma wanakupa Al Ahly ya Misri na hapo ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko!
- Juma Kaseja
- Said Swedi
- Ramazan Wasso
- Boniface Pawasa
- Christopher Alex Massawe ( R.I.P )
- Seleman Abdallah Matola ( Captain ) a.k.a Veron a.k.a Mzambia
- Steven Mapunda a.k.a Garrincha
- Shekhan Rashid a.k.a Mido
- Emanuel Gabriel a.k.a Batigol
- Athuman Machupa
- Yusuph Lwenda Macho a.k.a Musso
unaota wewe.Hata Simba SC ilipokutana na Zamalek FC mlisema hivi hivi lakini Kikosi hiki.....
kiliweza kuwanyamazisheni Wanafiki wote mnaopatikana makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani. Endeleeni Kukariri hivyo hivyo na bahati nzuri bora Mimi ambaye nikifuzu hapo nakutana na huyo uliyemtaja ila Wewe endapo ukifuzu nina uhakika raundi yako ya tatu utakutana na TP Mazembe ya nchini DRC au Enyimba ya kutoka nchini Nigeria na CAF wakikusamehe kama siyo kukuonea sana huruma wanakupa Al Ahly ya Misri na hapo ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko!
- Juma Kaseja
- Said Swedi
- Ramazan Wasso
- Boniface Pawasa
- Christopher Alex Massawe ( R.I.P )
- Seleman Abdallah Matola ( Captain ) a.k.a Veron a.k.a Mzambia
- Steven Mapunda a.k.a Garrincha
- Shekhan Rashid a.k.a Mido
- Emanuel Gabriel a.k.a Batigol
- Athuman Machupa
- Yusuph Lwenda Macho a.k.a Musso
hv hapo # 3 ni Ramazan ama Ramadhan?Hata Simba SC ilipokutana na Zamalek FC mlisema hivi hivi lakini Kikosi hiki.....
kiliweza kuwanyamazisheni Wanafiki wote mnaopatikana makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani. Endeleeni Kukariri hivyo hivyo na bahati nzuri bora Mimi ambaye nikifuzu hapo nakutana na huyo uliyemtaja ila Wewe endapo ukifuzu nina uhakika raundi yako ya tatu utakutana na TP Mazembe ya nchini DRC au Enyimba ya kutoka nchini Nigeria na CAF wakikusamehe kama siyo kukuonea sana huruma wanakupa Al Ahly ya Misri na hapo ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko!
- Juma Kaseja
- Said Swedi
- Ramazan Wasso
- Boniface Pawasa
- Christopher Alex Massawe ( R.I.P )
- Seleman Abdallah Matola ( Captain ) a.k.a Veron a.k.a Mzambia
- Steven Mapunda a.k.a Garrincha
- Shekhan Rashid a.k.a Mido
- Emanuel Gabriel a.k.a Batigol
- Athuman Machupa
- Yusuph Lwenda Macho a.k.a Musso
hv hapo # 3 ni Ramazan ama Ramadhan?
Mkuu, povu la nini,? Kila mtu anajua simba ni kiboko ya waarab.Vipi baada hapo Simba walichukua ubingwa?. Tuache mzaha wa kuchekana kwenye mechi za kimataifa timu zetu zote zipo kwenye chungu kimoja tu cha uhovyo zinachemshwa labda tuendelee na ujinga wetu wa ligi yetu hii. Hapo ndo tutaniane kuwa yule sijui kachukua ubingwa mara 3 mfululizo mara yule hajashiriki mechi za kimataifa miaka sijui mitano.
This is Simba [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]hv hapo # 3 ni Ramazan ama Ramadhan?
Naona umekwepa kumtaja mume wenu OkwiiiiUnafananisha hawa wachezaji uliowataja na urojo urojo kina gyan? Ni bora kungojea mda uamue.
Mkuu hata Tambwe ni Amisi sio Hamisi na kocha msaidizi wa Simba ni Djuma sio JumaHata Yeye mwenyewe hadi leo hii ukikutana nae maeneo yake ya Sinza na Tabata na kila Jumamosi na Jumapili asubuhi pale Leaders Club akiwa na Maveteran Wenzake akina Bakari Malima Jembe Ulaya wakipasha ukimuambia akuandikie jina lake atakuandikia hivyo hivyo Ramazan na siyo hilo lako la Ramadhan. Ulidhani labda nimekosea? Najiamini kuliko udhaniavyo halafu huwa nina uhakika na ninachokiwasilisha baada ya Kukipembua. Mbona hushangai kuna wengine wanajiita Kelvin na Calvin? au Said na Saidi? au Paul na Paulo? Hapo logically tofauti ipo wapi hadi ikushangaze?
Huwa nachukia kukutana na Mijitu hopeless wa mfano wako na huwa siwacheleweshi kuwapeni dozi zangu mubashara kabisa.
Kwa kuongezea tu.....Ramazan mtoro ongalla aka Dk RemmyHata Yeye mwenyewe hadi leo hii ukikutana nae maeneo yake ya Sinza na Tabata na kila Jumamosi na Jumapili asubuhi pale Leaders Club akiwa na Maveteran Wenzake akina Bakari Malima Jembe Ulaya wakipasha ukimuambia akuandikie jina lake atakuandikia hivyo hivyo Ramazan na siyo hilo lako la Ramadhan. Ulidhani labda nimekosea? Najiamini kuliko udhaniavyo halafu huwa nina uhakika na ninachokiwasilisha baada ya Kukipembua. Mbona hushangai kuna wengine wanajiita Kelvin na Calvin? au Said na Saidi? au Paul na Paulo? Hapo logically tofauti ipo wapi hadi ikushangaze?
Huwa nachukia kukutana na Mijitu hopeless wa mfano wako na huwa siwacheleweshi kuwapeni dozi zangu mubashara kabisa.