Matokeo za timu zitakazokutana na yanga na simba ktk hatua ijayo,,naionea huruma simba ,yanga kidogo nawahurumia

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Rollers fc ya Botswana wameitandika el merreick ya sudan bao 3-0 ,mshindi kati ya timu hizi watakutana na Dar young African

90633123fb79495fde61d2056996e1b2.jpg

Aidha

c2bfb63a56d6067f6e9789600b3df3cf.jpg

El masry ya nchini Misry imeifurumusha Green Buffaloes ya Zambia mabao 4-0,mshindi kati ya timu hizi watakutana na mnyama simba sc

*Mechi za marudiano watacheza wiki ijayo
 
Hata Simba SC ilipokutana na Zamalek FC mlisema hivi hivi lakini Kikosi hiki.....
  1. Juma Kaseja
  2. Said Swedi
  3. Ramazan Wasso
  4. Boniface Pawasa
  5. Christopher Alex Massawe ( R.I.P )
  6. Seleman Abdallah Matola ( Captain ) a.k.a Veron a.k.a Mzambia
  7. Steven Mapunda a.k.a Garrincha
  8. Shekhan Rashid a.k.a Mido
  9. Emanuel Gabriel a.k.a Batigol
  10. Athuman Machupa
  11. Yusuph Lwenda Macho a.k.a Musso
kiliweza kuwanyamazisheni Wanafiki wote mnaopatikana makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani. Endeleeni Kukariri hivyo hivyo na bahati nzuri bora Mimi ambaye nikifuzu hapo nakutana na huyo uliyemtaja ila Wewe endapo ukifuzu nina uhakika raundi yako ya tatu utakutana na TP Mazembe ya nchini DRC au Enyimba ya kutoka nchini Nigeria na CAF wakikusamehe kama siyo kukuonea sana huruma wanakupa Al Ahly ya Misri na hapo ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko!
 
Unafananisha hawa wachezaji uliowataja na urojo urojo kina gyan? Ni bora kungojea mda uamue.
 
Hata Simba SC ilipokutana na Zamalek FC mlisema hivi hivi lakini Kikosi hiki.....
  1. Juma Kaseja
  2. Said Swedi
  3. Ramazan Wasso
  4. Boniface Pawasa
  5. Christopher Alex Massawe ( R.I.P )
  6. Seleman Abdallah Matola ( Captain ) a.k.a Veron a.k.a Mzambia
  7. Steven Mapunda a.k.a Garrincha
  8. Shekhan Rashid a.k.a Mido
  9. Emanuel Gabriel a.k.a Batigol
  10. Athuman Machupa
  11. Yusuph Lwenda Macho a.k.a Musso
kiliweza kuwanyamazisheni Wanafiki wote mnaopatikana makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani. Endeleeni Kukariri hivyo hivyo na bahati nzuri bora Mimi ambaye nikifuzu hapo nakutana na huyo uliyemtaja ila Wewe endapo ukifuzu nina uhakika raundi yako ya tatu utakutana na TP Mazembe ya nchini DRC au Enyimba ya kutoka nchini Nigeria na CAF wakikusamehe kama siyo kukuonea sana huruma wanakupa Al Ahly ya Misri na hapo ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko!
Vipi baada hapo Simba walichukua ubingwa?. Tuache mzaha wa kuchekana kwenye mechi za kimataifa timu zetu zote zipo kwenye chungu kimoja tu cha uhovyo zinachemshwa labda tuendelee na ujinga wetu wa ligi yetu hii. Hapo ndo tutaniane kuwa yule sijui kachukua ubingwa mara 3 mfululizo mara yule hajashiriki mechi za kimataifa miaka sijui mitano.
 
unaota wewe.
 
hv hapo # 3 ni Ramazan ama Ramadhan?
 
hv hapo # 3 ni Ramazan ama Ramadhan?

Hata Yeye mwenyewe hadi leo hii ukikutana nae maeneo yake ya Sinza na Tabata na kila Jumamosi na Jumapili asubuhi pale Leaders Club akiwa na Maveteran Wenzake akina Bakari Malima Jembe Ulaya wakipasha ukimuambia akuandikie jina lake atakuandikia hivyo hivyo Ramazan na siyo hilo lako la Ramadhan. Ulidhani labda nimekosea? Najiamini kuliko udhaniavyo halafu huwa nina uhakika na ninachokiwasilisha baada ya Kukipembua. Mbona hushangai kuna wengine wanajiita Kelvin na Calvin? au Said na Saidi? au Paul na Paulo? Hapo logically tofauti ipo wapi hadi ikushangaze?

Huwa nachukia kukutana na Mijitu hopeless wa mfano wako na huwa siwacheleweshi kuwapeni dozi zangu mubashara kabisa.
 
Vipi baada hapo Simba walichukua ubingwa?. Tuache mzaha wa kuchekana kwenye mechi za kimataifa timu zetu zote zipo kwenye chungu kimoja tu cha uhovyo zinachemshwa labda tuendelee na ujinga wetu wa ligi yetu hii. Hapo ndo tutaniane kuwa yule sijui kachukua ubingwa mara 3 mfululizo mara yule hajashiriki mechi za kimataifa miaka sijui mitano.
Mkuu, povu la nini,? Kila mtu anajua simba ni kiboko ya waarab.
 
Hata Yeye mwenyewe hadi leo hii ukikutana nae maeneo yake ya Sinza na Tabata na kila Jumamosi na Jumapili asubuhi pale Leaders Club akiwa na Maveteran Wenzake akina Bakari Malima Jembe Ulaya wakipasha ukimuambia akuandikie jina lake atakuandikia hivyo hivyo Ramazan na siyo hilo lako la Ramadhan. Ulidhani labda nimekosea? Najiamini kuliko udhaniavyo halafu huwa nina uhakika na ninachokiwasilisha baada ya Kukipembua. Mbona hushangai kuna wengine wanajiita Kelvin na Calvin? au Said na Saidi? au Paul na Paulo? Hapo logically tofauti ipo wapi hadi ikushangaze?

Huwa nachukia kukutana na Mijitu hopeless wa mfano wako na huwa siwacheleweshi kuwapeni dozi zangu mubashara kabisa.
Mkuu hata Tambwe ni Amisi sio Hamisi na kocha msaidizi wa Simba ni Djuma sio Juma
 
Tatizo lenu mnakariri, ivi mnazani hao wa Misri ndio Barcelona eeh hawezi kufungika,
Sasa nawambiaje hata hao El masry.. Waje tu tunyooshe 4G kwani wao wakina na wasifungwe

THIS IS SIMBAA....
[HASHTAG]#NGUVUMOJA[/HASHTAG]
 
Hata Yeye mwenyewe hadi leo hii ukikutana nae maeneo yake ya Sinza na Tabata na kila Jumamosi na Jumapili asubuhi pale Leaders Club akiwa na Maveteran Wenzake akina Bakari Malima Jembe Ulaya wakipasha ukimuambia akuandikie jina lake atakuandikia hivyo hivyo Ramazan na siyo hilo lako la Ramadhan. Ulidhani labda nimekosea? Najiamini kuliko udhaniavyo halafu huwa nina uhakika na ninachokiwasilisha baada ya Kukipembua. Mbona hushangai kuna wengine wanajiita Kelvin na Calvin? au Said na Saidi? au Paul na Paulo? Hapo logically tofauti ipo wapi hadi ikushangaze?

Huwa nachukia kukutana na Mijitu hopeless wa mfano wako na huwa siwacheleweshi kuwapeni dozi zangu mubashara kabisa.
Kwa kuongezea tu.....Ramazan mtoro ongalla aka Dk Remmy
 
Back
Top Bottom