changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu.
Hivyo haina haja ya kutafuta kocha wa kigeni bali tumpe tu timu Matola, ataifikisha mbali kwenye ligi na kimataifa. Kuna usemi unasema mchawi mpe mtoto wako akulelee.
Hivyo haina haja ya kutafuta kocha wa kigeni bali tumpe tu timu Matola, ataifikisha mbali kwenye ligi na kimataifa. Kuna usemi unasema mchawi mpe mtoto wako akulelee.