Matola anatosha

Matola anatosha

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu.

Hivyo haina haja ya kutafuta kocha wa kigeni bali tumpe tu timu Matola, ataifikisha mbali kwenye ligi na kimataifa. Kuna usemi unasema mchawi mpe mtoto wako akulelee.
 
Hebu kumbushia mlikuwa mnacheza na timu gani vile?
 
Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu. Hivyo haina haja ya kutafuta kocha wa kigeni bali tumpe tu timu Matola, ataifikisha mbali kwenye ligi na kimataifa. Kuna usemi unasema mchawi mpe mtoto wako akulelee.
Naunga mkono hoja kwa 100%.
Matola anatosha, tena anatosha sana pale Simba.
 
Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu. Hivyo haina haja ya kutafuta kocha wa kigeni bali tumpe tu timu Matola, ataifikisha mbali kwenye ligi na kimataifa. Kuna usemi unasema mchawi mpe mtoto wako akulelee.
alisema gentamicin hata mwezi haujaisha tayali yametimia
 
Ana licence B ya caf. Kukaa kama head coach kwenye champions league ni lazima uwe na caf A licence.
Sasa mbona kuna wapambe wake wanampigia chapuo kuwa kocha mkuu na wakati hatoshi?

Au wakati wa hayo mashindano ya CAF, watamuajiri tena yule Tierry Hitimana wa KMC kuwa kocha mkuu wa timu? Kwa hali hii Rage alikosea kweli kuwaita watu wa aina hii mbumbumbu?
 
Well navyojua mie ni kwamba mwafrica lazima awe na caf A licence wakati kocha wa kutoka ulaya awe na uefa pro licence maana kwao hiyo ndio highest qualification.

Lengo la càf ni kwamba makocha wote wa ligi kuu za nchi lazima wawe na A licence ili kjufundisha timu.
 
hy caf b,inamfaa usaidizi nbcpl
Caf b unakuwa msaidizi nbcpl na pia unakaa kwenye bench caf champions league kama assistant coach.

Nifikiri kuanzia msimu huu ulivyoanza ilitakiwa kocha mkuu awe na leseni ya A kwenye nbcpl...ila suo kama ilifuatiliwa sana....sii unajua tena kibongo bongo magumashi mengi
 
Back
Top Bottom