Naunga mkono hoja kwa 100%.Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu. Hivyo haina haja ya kutafuta kocha wa kigeni bali tumpe tu timu Matola, ataifikisha mbali kwenye ligi na kimataifa. Kuna usemi unasema mchawi mpe mtoto wako akulelee.
Ana licence B ya caf. Kukaa kama head coach kwenye champions league ni lazima uwe na caf A licence.Tuwekeeni kwanza vyeti vyake vya ukocha hapa ili tuone kama anatosha kweli.
alisema gentamicin hata mwezi haujaisha tayali yametimiaWana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu. Hivyo haina haja ya kutafuta kocha wa kigeni bali tumpe tu timu Matola, ataifikisha mbali kwenye ligi na kimataifa. Kuna usemi unasema mchawi mpe mtoto wako akulelee.
Sasa mbona kuna wapambe wake wanampigia chapuo kuwa kocha mkuu na wakati hatoshi?Ana licence B ya caf. Kukaa kama head coach kwenye champions league ni lazima uwe na caf A licence.
Well navyojua mie ni kwamba mwafrica lazima awe na caf A licence wakati kocha wa kutoka ulaya awe na uefa pro licence maana kwao hiyo ndio highest qualification.Sasa mbona kuna wapambe wake wanampigia chapuo kuwa kocha mkuu na wakati hatoshi?
Au wakati wa hayo mashindano ya CAF, watamuajiri tena yule Tierry Hitimana wa KMC kuwa kocha mkuu wa timu? Kwa hali hii Rage alikosea kweli kuwaita watu wa aina hii mbumbumbu?
hy caf b,inamfaa usaidizi nbcplAna licence B ya caf. Kukaa kama head coach kwenye champions league ni lazima uwe na caf A licence.
Caf b unakuwa msaidizi nbcpl na pia unakaa kwenye bench caf champions league kama assistant coach.hy caf b,inamfaa usaidizi nbcpl