Matola aongezewe mshahara Simba

Matola aongezewe mshahara Simba

Kwani wakati mnamchukua huyo pabulo hamkujua anatoka nchi gani au muajiri mtu rasmi wa kumbembeleza pabulo wenu akichukia
 
Kajamaa hakataki kukaa Africa kapo bongo Kwa Sababu ya njaa tu lakini nna uhakika kakipata vihelahela kidogo katarudi Spain au kwao South America..

Sijui wanafanya vipi Kazi Na boss WA namna HII.

Mimi nipo Yanga but Matola Hadi namuonea huruma. Anafanya Kazi katika mazingira magumu Sana Yani ingekuwa uswahilini Matola lazima uvumilivu ungemshinda Ange kapiga Mitama.

Kana mchoresha mno
😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom