Chevi_masta
Member
- Sep 13, 2021
- 11
- 15
Kocha Seleman Matola anaondoka Simba kwa muda ili akasome. Matola amepata fursa ya kwenda kusoma kozi ya leseni A ya CAF, ataanza Novemba 21 ambapo atasoma kwa wiki mbili, kisha atarejea kikosini hapo kwa kuyafanyia kazi kwa vitendo mafunzo aliyoyapata.
Cc: Mwanaspoti
Cc: Mwanaspoti