Matola ndiye alikuwa kirusi cha debi ya Simba na Yanga kiufundi bora abakie aliko

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Pengo la matola kwenye Debi ya Simba na Yanga limeonekana!

Gemu hizi zilikuwa dili kwa watu!

Hongera Simba kwa kumstafisha kwa heshima!

Aendelee kubakia hukohuko shule anakosoma

Manara, Wawa, Matola na Manula kwenye mechi za debi zilikuwa ni ..........kwao
 
Wenye Simba SC yetu na wenye Akili Kubwa na kuyajua yaliyokuwa yakiendelea hadi kila mara Kufungwa na Yanga SC tulipokuwa tukisema kwa Kuandika hapa kumhusu huyu Matola na Wengineo kuwa walikuwa Wanatuhujumu si mlikuwa hamtuamini na mkitudharau?

Kuna Members hapa JamiiForums wanatakiwa Wajengewe Sanamu na wapewe Tuzo kwani wanajua mengi na hawakosei wakiwa wanayaleta hapa Watu msome.
 
Wizara Ya Ujenzi Ianze Ujenzi Wa Sanamu Hizo Nchi Nzima
 
Wenye Simba SC yetu na wenye Akili Kubwa na kuyajua yaliyokuwa yakiendelea hadi kila mara Kufungwa na Yanga SC tulipokuwa tukisema kwa Kuandika hapa kumhusu huyu Matola na Wengineo kuwa walikuwa Wanatuhujumu si mlikuwa hamtuamini na mkitudharau?

Kuna Members hapa JamiiForums wanatakiwa Wajengewe Sanamu na wapewe Tuzo kwani wanajua mengi na hawakosei wakiwa wanayaleta hapa Watu msome.
Hahah walimuondoa kimya kimya kwa heshima
 
Mashabiki wa mbumbumbu fc msiwavunjie heshma watu waliojitoa Kwaajili ya timu Kwa miaka mingi kwakua mmepata matokeo dhidi ya Yanga tarehe 16/04/23.
Simba imekua kibonde/ Dhaifu Kwa Yanga Kwa miaka mingi sana tangu ligi ya Tanzania Bara Ina anzishwa na hutokea kama hivi. Yanga wanashinda mechi za kutosha na Simba anashinda mara Moja Moja.
Kabla Matola hajaja Simba, Simba amekua mnyonge wa Yanga.
Msiwatukane watu kisa ushindi wa mara Moja.
 
Pombe siyo chai jadili ya kwenu
 
Akuna Darby Simba walizoshinda Matola akiwa kocha msaidizi?.
Matola aiuze Simba kwa kipi?.
Ajaiuza Simba akiwa uwanjani anachezea Simba kwa kujituma aje aiuze Simba akiwa kocha?
 
Unaingia chumba cha mtihani na maswali yako basi jibu mwenyewe
Siku nyingine ukileta jambo la namna hii uje na ushahidi.
wenye utulivu wa akili awawezi kukubali uzushi tena kwa mtu aliyeipa club ya Simba heshma akiwa mchezaji na akiwa mwalimu.
 
Manula hatakiwi kudaka kwenye derby, nahisi huwa ni shabiki wa Yanga yule maana huwa anafungwa magoli ya ajabuajabu sana.
Mbali ya hyo mkuu kwa Nini Kila ikikaribia mechi na Yanga lazima asingizie anaumwa kuanzia mechi ya mwanza mechi ya ngao ya jamii na hii ya juzi hata Mimi alishaanza kunitia wasi wasi nadhani Sasa huyo salimu aminiwe kabisa
 
Wenye Simba SC yetu na wenye Akili Kubwa na kuyajua yaliyokuwa yakiendelea hadi kila mara Kufungwa na Yanga SC tulipokuwa tukisema kwa Kuandika hapa kumhusu huyu Matola na Wengineo kuwa walikuwa Wanatuhujumu si mlikuwa hamtuamini na mkitudharau?

Kuna Members hapa JamiiForums wanatakiwa Wajengewe Sanamu na wapewe Tuzo kwani wanajua mengi na hawakosei wakiwa wanayaleta hapa Watu msome.
mbaya zaidi wanapigwa ban
 
Mafanikio ya Simba kwa mechi za hivi karibuni ni kazi ya Kocha Robertinho. Robertinho ni kocha hasa na anaifahamu na kuifanya kazi yake kwa ufasha. Ingekuwa Gardiola Kipipa bado ni kocha mkuu simba, nasema hivi: mechi ya 16/4 Simba angeoga magoli.
Unafiki pro max
 
Mashabiki wa mbumbumbu fc msiwavunjie heshma watu waliojitoa Kwaajili ya timu Kwa miaka mingi kwakua mmepata matokeo dhidi ya Yanga tarehe 16/04/23.
Simba imekua kibonde/ Dhaifu Kwa Yanga Kwa miaka mingi sana tangu ligi ya Tanzania Bara Ina anzishwa na hutokea kama hivi. Yanga wanashinda mechi za kutosha na Simba anashinda mara Moja Moja.
Kabla Matola hajaja Simba, Simba amekua mnyonge wa Yanga.
Msiwatukane watu kisa ushindi wa mara Moja.
Ndiyo akili ya Madunduka ilivyo! Yanajiona sasa hivi yamemkamata Yanga! Ipo siku yatawakataa wote!
 
Back
Top Bottom