Wenye Simba SC yetu na wenye Akili Kubwa na kuyajua yaliyokuwa yakiendelea hadi kila mara Kufungwa na Yanga SC tulipokuwa tukisema kwa Kuandika hapa kumhusu huyu Matola na Wengineo kuwa walikuwa Wanatuhujumu si mlikuwa hamtuamini na mkitudharau?Pengo la matola kwenye Debi ya Simba na Yanga limeonekana!
Gemu hizi zilikuwa dili kwa watu!
Hongera Simba kwa kumstafisha kwa heshima!
Aendelee kubakia hukohuko shule anakosoma
Manara, Wawa, Matola na Manula kwenye mechi za debi zilikuwa ni ..........kwao
Wizara Ya Ujenzi Ianze Ujenzi Wa Sanamu Hizo Nchi NzimaWenye Simba SC yetu na wenye Akili Kubwa na kuyajua yaliyokuwa yakiendelea hadi kila mara Kufungwa na Yanga SC tulipokuwa tukisema kwa Kuandika hapa kumhusu huyu Matola na Wengineo kuwa walikuwa Wanatuhujumu si mlikuwa hamtuamini na mkitudharau?
Kuna Members hapa JamiiForums wanatakiwa Wajengewe Sanamu na wapewe Tuzo kwani wanajua mengi na hawakosei wakiwa wanayaleta hapa Watu msome.
Hahah walimuondoa kimya kimya kwa heshimaWenye Simba SC yetu na wenye Akili Kubwa na kuyajua yaliyokuwa yakiendelea hadi kila mara Kufungwa na Yanga SC tulipokuwa tukisema kwa Kuandika hapa kumhusu huyu Matola na Wengineo kuwa walikuwa Wanatuhujumu si mlikuwa hamtuamini na mkitudharau?
Kuna Members hapa JamiiForums wanatakiwa Wajengewe Sanamu na wapewe Tuzo kwani wanajua mengi na hawakosei wakiwa wanayaleta hapa Watu msome.
Manula hatakiwi kudaka kwenye derby, nahisi huwa ni shabiki wa Yanga yule maana huwa anafungwa magoli ya ajabuajabu sana.Kuna ka ukweli fulani. Hata Manula naye tangu afungwe lile goli na Aziz Ki huwa simuamini Sana.
AmakweliWizara Ya Ujenzi Ianze Ujenzi Wa Sanamu Hizo Nchi Nzima
Pombe siyo chai jadili ya kwenuMashabiki wa mbumbumbu fc msiwavunjie heshma watu waliojitoa Kwaajili ya timu Kwa miaka mingi kwakua mmepata matokeo dhidi ya Yanga tarehe 16/04/23.
Simba imekua kibonde/ Dhaifu Kwa Yanga Kwa miaka mingi sana tangu ligi ya Tanzania Bara Ina anzishwa na hutokea kama hivi. Yanga wanashinda mechi za kutosha na Simba anashinda mara Moja Moja.
Kabla Matola hajaja Simba, Simba amekua mnyonge wa Yanga.
Msiwatukane watu kisa ushindi wa mara Moja.
Unaingia chumba cha mtihani na maswali yako basi jibu mwenyeweAkuna Darby Simba walizoshinda Matola akiwa kocha msaidizi?.
Matola aiuze Simba kwa kipi?.
Ajaiuza Simba akiwa uwanjani anachezea Simba kwa kujituma aje aiuze Simba akiwa kocha?
Siku nyingine ukileta jambo la namna hii uje na ushahidi.Unaingia chumba cha mtihani na maswali yako basi jibu mwenyewe
Mbali ya hyo mkuu kwa Nini Kila ikikaribia mechi na Yanga lazima asingizie anaumwa kuanzia mechi ya mwanza mechi ya ngao ya jamii na hii ya juzi hata Mimi alishaanza kunitia wasi wasi nadhani Sasa huyo salimu aminiwe kabisaManula hatakiwi kudaka kwenye derby, nahisi huwa ni shabiki wa Yanga yule maana huwa anafungwa magoli ya ajabuajabu sana.
Yote yanawezekana mkuu mpira wa kipind hicho syo huu wa Sasa hiviAkuna Darby Simba walizoshinda Matola akiwa kocha msaidizi?.
Matola aiuze Simba kwa kipi?.
Ajaiuza Simba akiwa uwanjani anachezea Simba kwa kujituma aje aiuze Simba akiwa kocha?
Ukiwa mzoefu wa Darby utajua nachokisema!,mmoja akifungwa lazima apatikane wa kumpa lawama uwa ipo hivyo,akuna anaeamini kwenye kuzidiwa uwanjani.Yote yanawezekana mkuu mpira wa kipind hicho syo huu wa Sasa hivi
mbaya zaidi wanapigwa banWenye Simba SC yetu na wenye Akili Kubwa na kuyajua yaliyokuwa yakiendelea hadi kila mara Kufungwa na Yanga SC tulipokuwa tukisema kwa Kuandika hapa kumhusu huyu Matola na Wengineo kuwa walikuwa Wanatuhujumu si mlikuwa hamtuamini na mkitudharau?
Kuna Members hapa JamiiForums wanatakiwa Wajengewe Sanamu na wapewe Tuzo kwani wanajua mengi na hawakosei wakiwa wanayaleta hapa Watu msome.
Unafiki pro maxMafanikio ya Simba kwa mechi za hivi karibuni ni kazi ya Kocha Robertinho. Robertinho ni kocha hasa na anaifahamu na kuifanya kazi yake kwa ufasha. Ingekuwa Gardiola Kipipa bado ni kocha mkuu simba, nasema hivi: mechi ya 16/4 Simba angeoga magoli.
Ndiyo akili ya Madunduka ilivyo! Yanajiona sasa hivi yamemkamata Yanga! Ipo siku yatawakataa wote!Mashabiki wa mbumbumbu fc msiwavunjie heshma watu waliojitoa Kwaajili ya timu Kwa miaka mingi kwakua mmepata matokeo dhidi ya Yanga tarehe 16/04/23.
Simba imekua kibonde/ Dhaifu Kwa Yanga Kwa miaka mingi sana tangu ligi ya Tanzania Bara Ina anzishwa na hutokea kama hivi. Yanga wanashinda mechi za kutosha na Simba anashinda mara Moja Moja.
Kabla Matola hajaja Simba, Simba amekua mnyonge wa Yanga.
Msiwatukane watu kisa ushindi wa mara Moja.