kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Poor comparison.Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.
Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.
Ifike mahali ukweli usemwe
Shit tupu.Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.
Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.
Ifike mahali ukweli usemwe
Tuache kulinganisha Yanga na Simba bhana, huu utani wetu usitupelekee kwenye uhalisia, Simba iko mbali sana kiubora kuliko YangaUkiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.
Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.
Ifike mahali ukweli usemwe
Matola huyu huyu aliyeshindwa kuwa kocha mkuu kwa sababu cheti hakimruhusu!?..Ndo unamfananisha na kocha mwenye leseni A ya UEFA?
Matola huyu huyu aliyeshindwa kuwa kocha mkuu kwa sababu cheti hakimruhusu!?..Ndo unamfananisha na kocha mwenye leseni A ya UEFA?
Shit tupu.
Ukitaka kuwalinganisha Kaze na Matola inatakiwa wote wawe na resource zinazofanana. Yaani hiko kikosi alichonacho Matola ndiwe hiko hiko alicho nacho Kaze. Halafu wote watahiniwe kwa kutumia mpinzani mmoja kisha ndipo uangalie achievement zao.Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.
Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.
Ifike mahali ukweli usemwe
Sisi tusiokuwa upande wa mbumbumbu sc wala vyura fc tunasubiri yule atakayechukua ndoo ndiyo tumtambue kuwa ndiye mbabe wa mwenziwe - siyo hizi ngonjera!Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.
Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.
Ifike mahali ukweli usemwe
Kwani cheti ndo kinafundisha mpira?Matola huyu huyu aliyeshindwa kuwa kocha mkuu kwa sababu cheti hakimruhusu!?..Ndo unamfananisha na kocha mwenye leseni A ya UEFA?
Unateseka kutoka wapi?utaipenda tuuMatola huyu huyu aliyeshindwa kuwa kocha mkuu kwa sababu cheti hakimruhusu!?..Ndo unamfananisha na kocha mwenye leseni A ya UEFA?
Unajua kilichomfanya matola asiwe kocha mkuu Lipuli?ukishajua hapo hautakaa ubishe ujinga.jibu unapotaka ni kweli cheti hakifundishi mpira mkuu.Ahsante na karibu tenaKwani cheti ndo kinafundisha mpira?