Matola vs Kaze: Match 2 za Zenji

Matola vs Kaze: Match 2 za Zenji

Miraji na kahata wakiwa yanga wa uhakika wa namba, mtazamo wangu tu
 
Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.

Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.

Ifike mahali ukweli usemwe
Poor comparison.
 
Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.

Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.

Ifike mahali ukweli usemwe
Shit tupu.
 
Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.

Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.

Ifike mahali ukweli usemwe
Tuache kulinganisha Yanga na Simba bhana, huu utani wetu usitupelekee kwenye uhalisia, Simba iko mbali sana kiubora kuliko Yanga
 
Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.

Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.

Ifike mahali ukweli usemwe
Ukitaka kuwalinganisha Kaze na Matola inatakiwa wote wawe na resource zinazofanana. Yaani hiko kikosi alichonacho Matola ndiwe hiko hiko alicho nacho Kaze. Halafu wote watahiniwe kwa kutumia mpinzani mmoja kisha ndipo uangalie achievement zao.

Ni ajabu mtu anayepigana vita kwa kutumia visu na panga umlinganishe na mtu mwenye kila aina ya silaha za vita.
Wachezaji wa Simba wanaweza kucheza vizuri tu hata wakiwa hawana kocha. Kikubwa kwao ni morali tu
 
Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.

Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.

Ifike mahali ukweli usemwe
Sisi tusiokuwa upande wa mbumbumbu sc wala vyura fc tunasubiri yule atakayechukua ndoo ndiyo tumtambue kuwa ndiye mbabe wa mwenziwe - siyo hizi ngonjera!
 
Nateseka?ama kweli ujinga Ni mzigo mimi nimeweka uhalisia,sasa we njoo na data hapa uone kiasi gani hao watu hawawezi fananishwa hata kidogo,matola yu mbali sana kufika kwa kaze.
 
Kwani cheti ndo kinafundisha mpira?
Unajua kilichomfanya matola asiwe kocha mkuu Lipuli?ukishajua hapo hautakaa ubishe ujinga.jibu unapotaka ni kweli cheti hakifundishi mpira mkuu.Ahsante na karibu tena
 
20210110_190522185998.jpg

Simba ni kama mbingu kwa Utopolo
 
Back
Top Bottom