kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
- Thread starter
-
- #21
Ubora wa kocha ni matokeo ya uwanjan. CV Vila matokeo?Matola huyu huyu aliyeshindwa kuwa kocha mkuu kwa sababu cheti hakimruhusu!?..Ndo unamfananisha na kocha mwenye leseni A ya UEFA?
subiri hamsa toka cafUkiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.
Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.
Ifike mahali ukweli usemwe
Kwahiyo kwa hayo matokeo umeridhika!.inadhihirisha ubora wa kaze mbele ya matola?Ubora wa kocha ni matokeo ya uwanjan. CV Vila matokeo?
Kwahiyo kwa hayo matokeo umeridhika!.inadhihirisha ubora wa kaze mbele ya matola?
Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.
Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.
Ifike mahali ukweli usemwe
Hivi nani kashinda (mbabe) hii mechi?Sisi tusiokuwa upande wa mbumbumbu sc wala vyura fc tunasubiri yule atakayechukua ndoo ndiyo tumtambue kuwa ndiye mbabe wa mwenziwe - siyo hizi ngonjera!
Ubora upi? Dakika 90 shot on target zero.Tuache kulinganisha Yanga na Simba bhana, huu utani wetu usitupelekee kwenye uhalisia, Simba iko mbali sana kiubora kuliko Yanga
Ndio maana simbwa wanaifunga Yanga na jana wameifunga YangaTuache kulinganisha Yanga na Simba bhana, huu utani wetu usitupelekee kwenye uhalisia, Simba iko mbali sana kiubora kuliko Yanga
Ndio maana simbwa wanaifunga Yanga na jana wameifunga Yanga
Kuamua...! Mara mazoezi. Kubali tu mmezidiwa mbinu shangazi. Mikia mna namna nyingi ya kujifariji,huku roho zinawauma. Tulia hapo hapo sindano ikuingia shangaziMmepigwa show na watu mnawaita wazee!Sisi tulikuwa tunafanya mazoezi tu,baba alikuwa anacheza na wanae,msijisifu sana.
Tungeamua msingetoka nyie.Na mkiendelea kuchonga sana tarehe 8 mtajua hamjui
HahhahahahaahhMatola huyu huyu aliyeshindwa kuwa kocha mkuu kwa sababu cheti hakimruhusu!?..Ndo unamfananisha na kocha mwenye leseni A ya UEFA?