Matola vs Kaze: Match 2 za Zenji

Matola vs Kaze: Match 2 za Zenji

Utopolo wanaji boost tu kwa kushindana na Simba ili wasikike kidogo

Ni kama nyani mpweke anayelazimisha kucheza na binadamu ili naye aonekane yuko sawa.Ila nyani atabaki kuwa nyani tu
 
Matola huyu huyu aliyeshindwa kuwa kocha mkuu kwa sababu cheti hakimruhusu!?..Ndo unamfananisha na kocha mwenye leseni A ya UEFA?
Ubora wa kocha ni matokeo ya uwanjan. CV Vila matokeo?
 
Kwahiyo kwa hayo matokeo umeridhika!.inadhihirisha ubora wa kaze mbele ya matola?

Mkuu tena kaze ni kocha bora sana yule jamaa, makocha wa dizain yake ni noma sana inafika kipindi mbaka mchezaji akifanya kosa analia kwa maana amefanya tofauti na maelekezo ya mwalimu basi uyo mwalimu uwa tunamuita ni mnoma kupindukia asee

Mapaka lazima watambue kaze ni kocha bora zaid apa bongo na yanga ya kaze sio ya kuijia kiovyo ovyo
 
Huko ni kujifariji kombe analo Kaze kinachatakiwa ushindi siyo historia
Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.

Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.

Ifike mahali ukweli usemwe
 
Sisi tusiokuwa upande wa mbumbumbu sc wala vyura fc tunasubiri yule atakayechukua ndoo ndiyo tumtambue kuwa ndiye mbabe wa mwenziwe - siyo hizi ngonjera!
Hivi nani kashinda (mbabe) hii mechi?
 
Tuache kulinganisha Yanga na Simba bhana, huu utani wetu usitupelekee kwenye uhalisia, Simba iko mbali sana kiubora kuliko Yanga
Ndio maana simbwa wanaifunga Yanga na jana wameifunga Yanga
 
Mmepigwa show na watu mnawaita wazee!Sisi tulikuwa tunafanya mazoezi tu,baba alikuwa anacheza na wanae,msijisifu sana.
Tungeamua msingetoka nyie.Na mkiendelea kuchonga sana tarehe 8 mtajua hamjui
Ndio maana simbwa wanaifunga Yanga na jana wameifunga Yanga
 
Mmepigwa show na watu mnawaita wazee!Sisi tulikuwa tunafanya mazoezi tu,baba alikuwa anacheza na wanae,msijisifu sana.
Tungeamua msingetoka nyie.Na mkiendelea kuchonga sana tarehe 8 mtajua hamjui
Kuamua...! Mara mazoezi. Kubali tu mmezidiwa mbinu shangazi. Mikia mna namna nyingi ya kujifariji,huku roho zinawauma. Tulia hapo hapo sindano ikuingia shangazi
 
Back
Top Bottom